MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TEMESA  Yajadhimisha Miaka 20, Yajivunia  Mafanikio  Na Kuahidi  Kuimarisha  Huduma
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TEMESA  Yajadhimisha Miaka 20, Yajivunia  Mafanikio  Na Kuahidi  Kuimarisha  Huduma
Habari

TEMESA  Yajadhimisha Miaka 20, Yajivunia  Mafanikio  Na Kuahidi  Kuimarisha  Huduma

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na  Lucy Lyatuu, Dodoma
WAKALA Wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umeadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwake kwa kujivunia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika utoaji wa huduma za ufundi, usimamizi wa mitambo pamoja na maboresho ya miundombinu ya umeme nchini.
Mkurugenzi Mkuu Wa TEMESA, Kheri Mahimbali amesema hayo katika  hafla ya maadhimisho hayo iliyofanyika jijini Dodoma, na kuongeza kuwa  mafanikio yaliyofikiwa katika kipindi hicho yametokana na juhudi za wafanyakazi na ushirikiano mzuri kati ya taasisi hiyo, Serikali na sekta binafsi.
Habari Picha 12615
Amesema TEMESA imeendelea kupanua wigo wa huduma zake kwa kushirikiana na sekta binafsi, hususan katika maeneo ya matengenezo ya magari, mitambo pamoja na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kiufundi.
Mahimbali amesema taasisi hiyo imeendelea kuboresha miundombinu ya umeme katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo uwekaji na matengenezo ya taa za barabarani, hatua ambayo imechangia kuimarisha huduma kwa wananchi na kuongeza usalama katika maeneo ya mijini na vijijini.
Habari Picha 12616
Amebainisha kuwa Serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeelekeza taasisi za umma kujiendesha kwa ufanisi na kuongeza tija katika shughuli zake ili ziweze kuchangia maendeleo ya uchumi wa nchi.
Kwa mujibu wa Mahimbali, TEMESA itaendelea kuimarisha shughuli zake za kibiashara ili kuongeza mapato yatakayosaidia kuboresha mazingira ya kazi na maslahi ya watumishi wake.
Aidha, amewapongeza wafanyakazi wa TEMESA kwa mchango wao katika kufanikisha majukumu ya taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka 20 na kuahidi kuendelea kushughulikia maslahi yao kwa lengo la kuongeza ari ya kazi na ufanisi katika utoaji wa huduma.
Habari Picha 12617
Habari Picha 12618

You Might Also Like

Thamani ya Fedha Ionekane Kwenye Utekelezaji wa Miradi-Nyamoga

Zimbabwe Yakabidhi Uenyekiti Kwa Madagascar

Magonjwa ya misuli yaongezeka mahala pa kazi-OSHA

Msisubiri Kupewa Amri, Ufanyaji Usafi Kwenye Maeneo Yenu – Lugendo

Kasekenya: Barabara ya Kakonko–Muhanga Ipo Katika Hatua za Awali za Kujengwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article PURA Yasema Tanzania Inaendelea Kujivunia Uwepo Wa Gesi Asilia,Ni Nguzo Muhimu Katika Kuchochea Maendeleo
Next Article Kundi Kubwa La Wanafunzi Hukatisha Masomo Katika Ngazi Mbalimbali Ya Elimu -TEWW 
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

VETA  Yapongezwa Kwa Kuibua Vipaji Kwa Vijana  
Habari June 24, 2026
Kundi Kubwa La Wanafunzi Hukatisha Masomo Katika Ngazi Mbalimbali Ya Elimu -TEWW 
Habari June 24, 2026
PURA Yasema Tanzania Inaendelea Kujivunia Uwepo Wa Gesi Asilia,Ni Nguzo Muhimu Katika Kuchochea Maendeleo
Habari June 24, 2026
TMA Yatoa Elimu ya Hali ya Hewa kwa Wananchi Dodoma
Habari June 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?