MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: BRELA Yahimiza Urasimishaji Biashara  Kuongeza Fursa Za Ukuaji
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > BRELA Yahimiza Urasimishaji Biashara  Kuongeza Fursa Za Ukuaji
Habari

BRELA Yahimiza Urasimishaji Biashara  Kuongeza Fursa Za Ukuaji

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu, Dodoma

WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewataka wafanyabiashara nchini kuhakikisha wanarasimisha biashara zao kwa kuzisajili rasmi ili kuongeza fursa za ukuaji, kupata masoko mapya na kuimarisha ushindani wa biashara zao.

Wito huo umetolewa na Ofisa Usajili wa BRELA, Yusuph Mwasakafyuka, wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.
Amesema usajili wa biashara una manufaa makubwa kwa wafanyabiashara kwani huwapa utambulisho rasmi, hulinda chapa zao za biashara na kuwajengea uaminifu kwa wateja pamoja na wadau wengine wa maendeleo.
Mwasakafyuka amesema BRELA inatumia maonesho hayo kutoa elimu kwa wananchi kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na taasisi hiyo, sambamba na kusajili biashara na kutoa vyeti papo kwa papo kwa waombaji wanaokidhi vigezo.
Ameeleza kuwa taasisi hiyo inasimamia sheria zinazohusu usajili wa makampuni, majina ya biashara, alama za biashara, leseni za viwanda, leseni za biashara za Kundi A na usajili wa hataza.
Kwa mujibu wake, mwitikio wa wananchi umeendelea kuongezeka tangu kuanza kwa maonesho hayo, ambapo mamia ya watu wamejitokeza kupata huduma na ushauri kuhusu usajili wa biashara na masuala mengine yanayohusiana na urasimishaji wa shughuli za kiuchumi.
Aidha, amesema wataalamu wa BRELA wamekuwa wakitoa msaada kwa wateja wanaokabiliwa na changamoto katika matumizi ya mfumo mpya wa usajili, hususan wale waliowasilisha taarifa zisizo sahihi wakati wa kujisajili.
Amesisitiza kuwa biashara zilizosajiliwa huwa na nafasi kubwa ya kupata huduma za kifedha kutoka benki na taasisi nyingine za mikopo, jambo linalosaidia kuongeza mtaji na kupanua shughuli za uzalishaji.
“Urasimishaji wa biashara ni hatua muhimu katika kujenga biashara imara na yenye uwezo wa kushindana katika soko la ndani na nje ya nchi,” amesema.

You Might Also Like

Tanzania,  na Taasisi ya BVGH kuimarisha huduma za saratani

USCAF Yawapatia Mafunzo Ya TEHAMA Walimu 1585

Ukosefu wa Chakula Shuleni Waathiri Wanafunzi Longido, CORDS Waja na Mrad

DKT. Biteko Ashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia Zanzibar

Boti yazama abiria 14 kati ya 21 waokolewa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article ILO Yazindua Mwongozo Wa Habari Za Uhamiaji, Jowuta Yatia Neno
Next Article OUT Yazindua Programu Mpya za Masomo Kukidhi Mahitaji ya Uchumi wa Kisasa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

OUT Yazindua Programu Mpya za Masomo Kukidhi Mahitaji ya Uchumi wa Kisasa
Habari June 21, 2026
ILO Yazindua Mwongozo Wa Habari Za Uhamiaji, Jowuta Yatia Neno
Habari June 20, 2026
Serikali Yawahamasisha Vijana Kurasimisha Ujuzi Kupitia Programu ya Mama Samia
Habari June 20, 2026
Msigwa Asisitiza Mabonanza Ya Michezo Na Sio Kukusanyika Kuvuruga Amani
Habari June 20, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?