MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Sheria Ya  Kuzuia Shisha Kutungwa, Yabainika Kuwekwa Dawa Za Kulevya
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Sheria Ya  Kuzuia Shisha Kutungwa, Yabainika Kuwekwa Dawa Za Kulevya
Habari

Sheria Ya  Kuzuia Shisha Kutungwa, Yabainika Kuwekwa Dawa Za Kulevya

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu,Dodoma
MAMLAKA ya Kudhibiti Na Kupambana Na Dawa Za Kulevya (DCEA) imesema iko kwenye mchakato wa kutunga sheria ya kudhibiti  kiburudisho aina ya shisha kutokana na kubainika kuwekwa dawa za kulevya.
Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema hayo mbele ya Waziri wa wa Nchi, Ofisi Ya Waziri Mkuu Sera Bunge Uratibu  Na Wenye Ulemavu Profesa Palamagamba Kabudi  wakati akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kuwasilisha taarifa ya hali ya dawa za kulevya mwaka 2025.
Amesema shish imekuwa ikitumika vibaya kwa kuweka dawa  za kulevya ambapo mchakazo huo utawezesha kuwa namsheria ya kuzuia kiburudisho hicho.
Habari Picha 12272
Kuhusu    kilimo cha bangi  nchini amesema mkoa wa Morogoro unaongoza kwa kilimo cha mmea huo ikifuatiwa na Mkoa wa Mara na Tabora.
Katika ripoti hiyo amebainisha kuwa kiasi cha bangi  tani 1,757.56 ilikamatwa kwa mwaka 2023, huku mwaka 2024 ta I zilizokamatwa ni 2,303.20 na kwa mwaka jana ikiwa nimtani 1,014.
Amesema kuhusu idadi ya watuhumiwa wa bangi  kwa mwaka 2024 ni watu 7981 huku mwaka jana wakiwa 7715, idadi ambayomimepungua kutokana na kuimarika kwa jitihada za utoaji elimu kwa jamii kuhusu tatizo lamdawa za kulevya.
Amesema bangi iliendelea kukamatwa kwa wingi na hata hivyo kiasi kilichokamatwa kilipungua kwa asilimia 55.97 ikilinganishwa na mwaka 2024.
Amesema upungufu huo unatokana na uteketezaji wa mashamba ya bangi uliofanyika mwaka 2024,kuimarika kwa udhibiti ikiwemo utoaji elimu kwa jamii inayojihusisha na kilimo cha bangi kuhusu madhara ya kilimo cha zao hilo.

You Might Also Like

Rais Samia Awatega Wateule Wake

Sh. Bilioni 883.93 Zatumika Kutekeleza Miradi ya Maji, Usafi wa Mazingira

Wajadili uendelezaji mazao ya utalii

Mwanafunzi Wa Shule Ya Msingi Mbezi, Aokolewa Mikononi Mwa Mtekaji

Wahandisi 428 Wajengewa Uwezo Kukuza Taaluma

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Waraibu Wa Dawa Za Kulevya 85,425  Wapatiwa Huduma Ya Tiba Nchini Kwa Mwaka 2025
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waraibu Wa Dawa Za Kulevya 85,425  Wapatiwa Huduma Ya Tiba Nchini Kwa Mwaka 2025
Habari May 29, 2026
NHC Kuendelea Kutekeleza Miradi Mikubwa Ya Kimkakati Ya Ujenzi Wa Nyumba
Habari May 28, 2026
Kutokulipa Kodi Ya Pango La Ardhi Unakosa Sifa Za Kugombea Nafasi Za Uongozi
Habari May 28, 2026
Tanzania Hakuna Tatizo La Kidini Wala Kiimani-JMAT
Habari May 26, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?