MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wabunge Waitaka Ujenzi Kuwa Na Mageuzi Makubwa Ya Ujenzi Wa Barabara
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wabunge Waitaka Ujenzi Kuwa Na Mageuzi Makubwa Ya Ujenzi Wa Barabara
Habari

Wabunge Waitaka Ujenzi Kuwa Na Mageuzi Makubwa Ya Ujenzi Wa Barabara

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Dodoma

WABUNGE ‘wameijia’ juu bajeti ya wizara ya ujenzi wakitaka iwe na mageuzi makubwa ya ujenzi na upanuzi wa barabara mbalimbali nchini pamoja na kuitaka serikali kulipa madeni ya wakandarasi ambayo yamekuwa ni tatizo.

Wabunge wamesema hayo jijini hapa wakati wakichangia bajeti ya wizara ya ujenzi, ambapo kwa kiwango kikubwa wameitaka serikali kuipa fedha wizara hiyo ili ikamilishe miradi yake mbalimbali ya ujenzi wa barabara nchini.

Habari Picha 12174

Akizungumza Mbunge wa Mbagala, Burchard Kakuru ameshauri barabara za jiji
A Dar es Salaam kupanuliwa zaidi kwa kuwa msongamano hauwezi kumalizwa bila kuwa na mageuzi makubwa.

Amesema Dar es Salaam ni jji la kibiashara na siku hadi siku msongamano umeendelea kuwepo akitolea mfano eneo la Mbagala,kuwa ziwepo hatua za makusudi kupata suluhu.

Mbunge wa Kiwani,Hijja Hassan Hijja ametaka serikali kkubeba dhamanamyam kulipa fedha za madeni ya wakandarasi kwa kuwa wana madeni mengi na wanahitajimkulipwa kuendelea na ujenzi.
Ameongeza kuwa pia fedha za mfuko wa barabara zilindwe,kuwezesha barabara nyingi kujengwa nchini.

Habari Picha 12175

Mbunge wa Musoma Mjini, Mgore Miraji ameitaka serikali kuipa fedha wizara ya ujenzi ili barabara nchini zijengwe pamoja na utekelezaji wa uboreshwaji wa miundombinu.
“Ni kweli barabara zi ahitajika,lakini serikali ipeleke fedha ili zikamilishwe kwa kuwa wizara hiyo inapumulia mashine,” amesemq na kutaka fedha za mfuko wa barabara ziachwe zijenge barabara.
Kwa upande wake Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku amewashauri wabunge kupitisha bajeti hiyo ambayo imekuwa na mvutano kwa kila mbunge kukumbuka barabara za maeneo walikotoka .

Habari Picha 12176

Alisema wizara hiyo haina fedha , ambapo ni muhimu serikali kuipatia fedha ili iweze kuendelea kukamilisha shughuli za ujenzi.

You Might Also Like

Timu Wizara Ya Nishati Zawasili Tayari Kwa Bonanza

SGR Kipande Cha Saba Na Nane kuanza kujengwa

BOT Yafungia Applications 69 Za Mikopo Mtandaoni

FCC Yapongezwa Kukabili Bidhaa Bandia

TAFIRI Wakabiliana Na Mabadiliko Ya Tabianchi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wizara Ya  Ujenzi Kutekeleza Vipaumbele Sita,Ujenzi Wa Miundombinu
Next Article Wadau wataka mifumo jumuishi kupunguza mzigo wa malezi kwa wenye ulemavu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

VETA kumpa nafasi Igobeko kuongeza ujuzi na kuwawezesha wengine
Habari August 23, 2026
Airtel Yajenga Darasa La Fursa Katika Shule Ya Sekondari Magaoni,Tanga
Habari August 23, 2026
Bunifu ya dawa ya mayai yapunguza hasara kwa wafugaji wa kuku
Makala August 22, 2026
Dkt Yonaz Awakumbusha Vijana Kulinda Afya Zao Katika Mapambano Dhidi Ya Ukimwi
Habari August 22, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?