MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Shehena  Inayohudumiwa Bandarini Yaongezeka  Kufikia Tani Mil 27.76
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Shehena  Inayohudumiwa Bandarini Yaongezeka  Kufikia Tani Mil 27.76
Habari

Shehena  Inayohudumiwa Bandarini Yaongezeka  Kufikia Tani Mil 27.76

Author
By Author
Share
3 Min Read
Na Lucy Lyatuu, Dodoma
SERIKALI imeainisha mafanikio yaliyopatikana  katika sekta ya bahari ikiwemo  kuongezeka kwa shehena inayohudumiwa katika Bandari ya Dar es Salaam kutoka tani milioni 16.27 mwaka wa fedha 2020/21 hadi kufikia tani milioni 27.76 mwaka 2024/25, sawa na ongezeko la asilimia 70.62.
Aidha imesema Kuongezeka kwa wastani wa shehena ya makasha yanayohudumiwa kwa mwezi kutoka makasha TEUs 61,000 hadi TEUs 102,000, sawa na ongezeko la asilimia 67.21.
Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema hayo wakati akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo Bungeni kwa mwaka 202627 na kuongeza mafanikio mengine ni Kupungua kwa gharama za uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam kutoka Sh bilioni 652.83 mwaka 2023/24 hadi Sh bilioni 308.95 mwaka 2024/25.
Habari Picha 12024
 Amesema mafanikio mengine ni Kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya TPA yatokanayo na ada za huduma za kibandari kutoka Sh bilioni 896.95 mwaka 2020/21 hadi kufikia Sh trilioni 1.30 mwaka 2024/25 na Kupungua kwa muda wa kuhudumia meli za makasha gatini kutoka wastani wa siku 10 hadi siku 3.
Profesa Mbarawa amesema mafanikio mengine ni Kupungua kwa muda wa meli kusubiri nangani kutoka wastani wa siku 46 hadi wastani wa siku saba kwa meli za mizigo mchanganyiko na kichele, Hatua za Serikali Kukabiliana na Ongezeko la Shehena katika Bandari ya Dar es Salaam.
 Amesema  Kutokana na kuongezeka kwa ufanisi wa Bandari ya
 Dar es Salaam kumeimarika kwa imani va Watumniaji wa bandari hio, Kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya TPA yatokanayo na ada za huduma za kibandari kutoka Sh bilioni 896.95 mwaka 2020/21 hadi kufikia Sh trilioni 1.30 mwaka 2024/25.
Amesema  Kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya TPA yatokanayo na ada za huduma za kibandari kutoka Sh bilioni 896.95 mwaka 2020/21 hadi kufikia Sh trilioni 1.30 mwaka 2024/25 na Kupungua kwa muda wa kuhudumia meli za makasha gatini kutoka wastani wa siku 10 hadi siku tatu.
 Ameongeza mafa ikio mengine ni  Kupungua kwa muda wa meli kusubiri nangani kutoka wastani wa siku 46 hadi wastani wa siku 7 kwa meli za mizigo mchanganyiko na kichele, Hatua za Serikali Kukabiliana na Ongezeko la Shehena katika Bandari ya Dar es Salaam
Amesema , Kutokana na kuongezeka kwa ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam pamoja na kuimarika kwa imani ya watumiaji wa bandari hiyo ndani na nje ya nchi, kumekuwepo na ongezeko kubwa la shehena ya mizigo inayohudumiwa bandarini. li kuhakikisha bandari inaendelea kutoa huduma kwa ufanisi, ushindani na viwango vinavyokidhi mahitaji yanayoongezeka.

You Might Also Like

Dkt. Mashimba Achukua Fomu Ya Kuwania Nafasi Ya Ubunge

Rais Samia Aipa Neema Miradi Ya Kuzalisha Umeme Iringa

Bil 67 Zatumika Kujenga Barabara, Masoko  Mwanza-Profesa Shemdoe

Ridhiwani Aipongeza Mahakama Kuzingatia Ajira Kwa Wenye Ulemavu

Tanzania yashiriki Kongamano la Afya Duniani jijini Berlin

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TARURA Wataka Makandarasi Kulinda Njia Mbadala Kipindi cha Mvua Kubwa
Next Article Abiria Mil 2.51  Wasafirishwa Na SGR Kuanzia Julai 2025 Hadi Sasa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Abiria Mil 2.51  Wasafirishwa Na SGR Kuanzia Julai 2025 Hadi Sasa
Habari May 13, 2026
TARURA Wataka Makandarasi Kulinda Njia Mbadala Kipindi cha Mvua Kubwa
Habari May 10, 2026
IITA Yawekeza Bilioni 410 Tanzania Kuimarisha Kilimo, Utafiti
Habari May 9, 2026
Vyuo Vikuu Vyahitaji Mkakati Madhubuti wa Tafiti — Yanda
Habari May 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?