Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 6, 2026
Habari Lucy Ngowi 6

Dkt. Biteko ashiriki kilele cha miaka 60 JWTZ

NAIBU  Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Dkt. Doto Biteko ameshiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) yaliyofanyika leo Septemba 1, 2024 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
Maadhimisho hayo yameongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan na Kuhudhuriwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philipo Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa.
Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.