MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: CHAKUHAWATA Yaimarisha Ulinzi wa Haki za Walimu, Yafikia Wanachama 49,750
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > CHAKUHAWATA Yaimarisha Ulinzi wa Haki za Walimu, Yafikia Wanachama 49,750
Habari

CHAKUHAWATA Yaimarisha Ulinzi wa Haki za Walimu, Yafikia Wanachama 49,750

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DODOMA: CHAMA cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) kimetangaza mafanikio 10 ndani ya kipindi cha miaka 11 tangu kuanzishwa kwake mwaka 2015.
Habari Picha 11629
Akizungumza jijini Dodoma katika kikao cha Kamati ya Utendaji, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Abisias Lutandika, amesema CHAKUHAWATA kilianza kikiwa na wanachama 182 pekee, lakini hadi Februari 2026 kimekua na kufikia wanachama 49,750 nchi nzima, huku zaidi ya walimu 3,000 wakiwa wamewasilisha maombi ya kujiunga.
Amesema chama kimefanikiwa kuendesha chaguzi za viongozi katika wilaya 84, huku maandalizi yakiendelea kwa wilaya 44 zilizotimiza masharti ya kikatiba.
Habari Picha 11626
Kwa mujibu wa Lutandika, mafanikio mengine ni pamoja na kuimarika kwa mshikamano miongoni mwa walimu na kujengwa kwa ushirikiano mzuri na Serikali kupitia majadiliano ya pamoja pindi changamoto zinapojitokeza.
Aidha, chama kimekuwa kikitoa huduma za kijamii kwa wanachama wake, ikiwemo kusaidia wagonjwa, waliokumbwa na kesi, majanga ya moto pamoja na wastaafu.
Pia kimekuwa kikisaidia shule za msingi na sekondari kwa kutoa vifaa kama mashine za kunakili, kompyuta na vifaa vya ujenzi.
Katika hatua nyingine, Mkutano Mkuu wa Januari 2025 uliridhia kuhamishwa kwa makao makuu kutoka Kigoma kwenda Dodoma ili kurahisisha uratibu wa shughuli za chama.
Habari Picha 11627
Lutandika ameongeza kuwa chama kimefanikiwa kutatua migogoro ya kikazi, kufuatilia stahiki za wanachama na kuendesha mikutano ya kitaifa kwa kuzingatia katiba yake.
Habari Picha 11628

You Might Also Like

MAIPAC Yasisitiza Maadili Na Usalama Kwa Waandishi Wa Habari

Wizara Ya Kilimo Yaomba Bunge Kuidhinisha Trilioni 1.1,Yaweka Mikakati Kuimarisha Sekta Hiyo

Kafulila: Deni La Taifa Ni Himilivu

Serikali Yaweka Mkazo Kukuza Tasnia Ya Ufugaji Wa Kuku

PSSSF Itaendelea Kuwekeza Kwenye Maeneo Salama Yenye Tija

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Upungufu wa Wataalamu wa Ustawi wa Jamii Wachangia Changamoto Kwenye Huduma za Jamii
Next Article Programu Mpya ya TPHPA Yalenga Usalama wa Mazao Sokoni
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Uwekezaji wa Vijana Watajwa Chachu ya Ukuaji wa Uchumi
Habari June 29, 2026
Tanzania Yaendelea Kuimarisha Usalama Na Ulinzi Wa Taarifa Binafsi
Habari June 29, 2026
WCF Yapigia Debe Ushirikiano na Teknolojia Kuimarisha Hifadhi ya Jamii
Habari June 28, 2026
Sabasaba 2026 Kuingiza Teknolojia Mpya na Fursa za Uwekezaji
Habari June 27, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?