MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tanzania, Afrika Kusini Zakubaliana Kuharakisha Makubaliano ya Ushirikiano
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tanzania, Afrika Kusini Zakubaliana Kuharakisha Makubaliano ya Ushirikiano
Habari

Tanzania, Afrika Kusini Zakubaliana Kuharakisha Makubaliano ya Ushirikiano

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Ngwaru Maghembe, amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika Kusini, Thandi Moraka, pembezoni mwa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika jijini Pretoria Machi 13, 2026.
Mazungumzo hayo pia yalihudhuriwa na Naibu Waziri wa Fedha, Laurent Luswetula, pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, James Bwana.
Katika mazungumzo yao, viongozi hao walijadili namna bora ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Afrika Kusini, nchi ambazo zina uhusiano wa kihistoria wa muda mrefu.
Habari Picha 11455
Miongoni mwa makubaliano yaliyofikiwa ni kuongeza kasi ya kukamilisha rasimu za hati za makubaliano katika maeneo mbalimbali ili ziweze kusainiwa na kuanza kutekelezwa kwa manufaa ya pande zote mbili.
Aidha, Dkt. Maghembe aliipongeza Afrika Kusini kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa nchi 20 tajiri zaidi duniani (G20) mwaka 2025, pamoja na maandalizi mazuri ya Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC uliofanyika kwa siku mbili, kuanzia Machi 12 hadi 13, 2026, jijini Pretoria.
Habari Picha 11456
Habari Picha 11457
Habari Picha 11458
Habari Picha 11459
Habari Picha 11460
Habari Picha 11461

You Might Also Like

Wenye Ulemavu Wa Ngozi Wakumbukwa Kupitia FDH, Wapewa Msaada Wa Milioni 20

PDPC  Yashauriwa Kutoa Elimu Kuhusu Taarifa Binafsi 

Mgombea Urais wa CHAUMMA Atangaza Mpango wa Kunusuru Kilimo

Wafanyakazi waitwa kupeleka changamoto za kikazi CMA

Matumizi Ya Baiteknolojia Nchini ni Madogo – Profesa Yanda

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Vita Mashariki ya Kati Vyatikisa Uchumi wa SADC, Mawaziri Watakiwa Kuchukua Hatua
Next Article Mkutano wa Mawaziri wa SADC Wahitimishwa Pretoria
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Kutoka Wazo Rahisi Hadi Mapinduzi ya Kilimo: Safari ya Rafiki Planter Inayosimulia Miaka 40 ya COSTECH
Makala July 27, 2026
Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Habari July 24, 2026
Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
Wananchi Washauriwa Kutumia  Wataalam Wa Ujenzi Kuepuka Madhara
Habari July 14, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?