MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Waziri Sangu, Balozi UAE Wajadili Fursa za Ajira kwa Watanzania
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Waziri Sangu, Balozi UAE Wajadili Fursa za Ajira kwa Watanzania
Habari

Waziri Sangu, Balozi UAE Wajadili Fursa za Ajira kwa Watanzania

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Falme za Kiarabu (UAE), Luteni Jenerali Yacoub Mohamed, katika Ofisi Ndogo ya Waziri, jijini Dar es Salaam.
Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kujadili fursa mbalimbali za ajira zilizopo katika nchi za Falme za Kiarabu, kutathmini changamoto zinazojitokeza, pamoja na kuweka mikakati ya kuboresha upatikanaji na usimamizi wa fursa za ajira kwa Watanzania.
Habari Picha 10739
Akizungumza katika kikao hicho,  Sangu amesema Serikali itaendelea kushughulikia changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika ajira za nje ya nchi kwa kuboresha mifumo ya usimamizi wa mawakala wa ajira, kuhakikisha utekelezaji wa sheria na kulinda maslahi ya wananchi.
Sangu amemshukuru Balozi Yacoub kwa kuwasilisha mapendekezo muhimu kwa Wizara, ambayo yataisaidia kuendelea kuboresha utoaji wa huduma za ajira katika nchi za Falme za Kiarabu.
Kwa upande wake, Balozi Yacoub amemshukuru Waziri kwa ushirikiano mzuri uliopo kati ya Wizara na Ubalozi katika utekelezaji wa majukumu yao.
Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, na kiliwahusisha watumishi kutoka Wizara pamoja na Ubalozi wa Tanzania nchini Falme za Kiarabu.
Habari Picha 10741
Habari Picha 10742
Habari Picha 10743
Habari Picha 10744
Habari Picha 10745

You Might Also Like

Waziri Mkuu Majaliwa Ahimiza Watanzania Kufanya Mazoezi

USAID yatoa Dola mil nane Kwa kampuni za Tanzania

TASAC yahadharisha wavuvi, wasafirishaji majini kuhusu upepo mkali

BRAC Tanzania: Upo Umuhimu Sekta Binafsi, Serikali Kushirikiana

Maofisa Tarafa na Watendaji wa Kata Waaswa kuwa wabunifu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TRA Yatoa Zawadi Za Krismas Na Mwaka Mpya Kwa Watoto Wenye Mahitaji
Next Article Simbachawene Ashauri Suluhu ya Mafuriko Mpwapwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Habari January 9, 2026
Tuna Deni La Kusimamia Miradi Na Kusikiliza Kero za wananchi Ili Kuleta Maendeleo Ya Kweli-Salome
Habari January 9, 2026
Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa
Habari January 8, 2026
TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar
Habari January 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?