MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais Dkt Samia Awaaapisha Mawaziri, Awaaagiza Kutumia Rasilimali Za Nchi Kupata Fedha
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais Dkt Samia Awaaapisha Mawaziri, Awaaagiza Kutumia Rasilimali Za Nchi Kupata Fedha
Habari

Rais Dkt Samia Awaaapisha Mawaziri, Awaaagiza Kutumia Rasilimali Za Nchi Kupata Fedha

Author
By Author
Share
2 Min Read

 

Na Lucy Lyatuu

RAIS Dkt Samia Suluhu Hassan amewaapisha mawaziri  wapya na kuwataka kujitahidi kutumia rasilimali  za  ndani ya nchi ili kupata fedha za kutekeleza miradi.

 

Amesema serikali itahakikisha itafanya  miradi yote wenyewe, hatutasubiri vyanzo vingine vya nje kama vile mikopo, kama ikija itawakuta wanaendelea na kazi.

 

Rais Samia amesema hay oleo Dodoma wakati akiapisha mawaziri wapya na  kuwataka kuhakikisha kuwa majukumu waliyopeana  na viapo walivyoapa ni kwamba wamekubali  kuwatumikia watu, na kauli yao iwe ni Kazi na Utu, hivyo utu uanze na wao kwa kuonesha utu kwa wengine kwa kuwatumikia vema.

 

Amesema kazi yao kuu ni kuwajibika kwa wananchi na nchi  kwa ujumla, wakatekeleze yale yote waliyoahidi kwa wananchi,na kukumbuka kwamba muda walionao ni mchache na mambo ni mengi.

 

“Tujitahidi kutumia rasilimali zetu za humu ndani ili tupate fedha za kutekeleza miradi yetu, tutahakikisha tunafanya miradi yetu yote wenyewe, hatutasubiri vyanzo vingine vya nje kama vile mikopo, kama ikija itatukuta tunaendelea na kazi,” amesema.

 

Amesema ndani ya siku 100 watekeleze na kukamilisha kazi zote walizoahidi kutimiza ndani ya siku hizo na kwamba wakionesha matokeo kwa wananchi na siyo ofisini.

 

Rais Samia amewataka wasiubebe uwaziri kama fahari, bali wafanye kazi kwa maslahi ya Watanzania na kwamba haoni shida kubadilisha viongozi kwani lengo ni kufanya kazi nzuri kwa moyo mkuu na moyo mmoja. Tukawajibike kwa wananchi.

 

You Might Also Like

Kampeni ya Mama Samia imewafikia zaidi ya watu 4000 mikoa saba

Samia Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu ALAT

TEN/MET, LHRC Zataka Iwekwe Marufuku Matumizi Ya Viboko

Limeni mkonge unalipa – Maghali

Wagombea Wa CCM Dodoma Mjini Waanza Kujinadi kwa Wajumbe

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Samia Atangaza Baraza Jipya La Mawaziri
Next Article Amani, Maendeleo Haviwezi Kutenganishwa — Dkt. Nchimbi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?