MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TTCL Yazindua Kifurushi Cha Huduma Tatu Muhimu  
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TTCL Yazindua Kifurushi Cha Huduma Tatu Muhimu  
Habari

TTCL Yazindua Kifurushi Cha Huduma Tatu Muhimu  

Author
By Author
Share
3 Min Read

Na Lucy Lyatuu

SHIRIKA La Mawasiliano Tanzania (TTCL)  limezindua kifurushi cha huduma ya faiba mlangoni maarufu kama T’ Fiber Triple Hub ambacho kinajumuisha huduma tatu muhimu yaani mfumo wa kifurushi kimoja, bili moja huduma tatu.

Meneja Masoko wa TTCL, Janeth Maeda amezindua kifurushi hicho Dar es Salaam  an kuongeza kuwa  jitihda hizo  ni kwa Shirika hilo kuendelea kuwekeza zaidi katika  kuhakikisha huduma za mawasiliano nchini zinakuwa imara za uhakika na kwa gharama nafuu.

Habari Picha 10294

Limesema kupitia uwekezaji huo linalenga kufikisha huduma za kisasa hadi katika makazi ya watu, katika ofisi na hata katika biashara kwa kuwaunganisha watanzania wote bila kujali walipo.

Amesema TTCL imeendelea kusikiliza kwa makini maoni, mahitaji na matarajio ya watanzania kutoka kila upande wa nchi ya Tanzania.

“Tumejifunza kwamba wananchi wanahitaji huduma rahisi kutumia gharama nafuu lakini zenye ubora wa juu itakayotoa tafsiri ya thamani halisi kwa fedha wanazotumia katika harakati za kuboresha maisha yao, ” amesema.

Habari Picha 10295

Kuhusu kifurushi hicho amesema kinajumuisha huduma tatu muhimu yaani mfumo wa kifurushi kimoja, bili moja huduma tatu.

Amesema kifurushi kinajumuisha huduma tatu muhimu yaani intanenti kwa matumizi ya familia, ofisi, biashara na hata mifumo ya kidigitali.

Vilevile amesema kifurushi kinajumuisha huduma ya simu ya mezani inayompa mteja fursa ya kupiga au kupokea simu kwa urahisi kupitia miundombinu ya faiba na pia kinajuisha huduma ya intanent na dakika kwa simu ya mkononi inayomuwezesha mteja kupata vifurushi vyenye GB na dakika za kutosha ambayo vinaweza kutumika popote pale mteja alipo akiwa na lainibya simu ya TTCL na anaweza kuwaunganisha ndugu na jamaa au wafanyakazi wake na kufurahia kasi ileile.

Habari Picha 10296

Maeda amesema kifurushi ni suluhisho kamili nyumbani. Ofisini au biashara, kimeundwa ili kurahisisha maisha, kupunguza gharama na kutoa thamani kubwa zaidi kwa wateja.

Amezitaja faida za kifurushi hicho kuwa ni ni kifurushi kwa wateja wote wapya na waliopo wanaweza kufurahia huduma hiyo na ni kifurushi rahisi chenye huduma zote tatu zikipatikana kwenye kifurushi kimoja, bili moja ukipata huduma tatu popote.

Amesema kifurushi kina ubora na uhakika kwa saa 24 na kinapatikana kwa sh 70,000 kikiwa na intanet ya kasi kubwa bila kikomo yenye uwezo wa hadi 20 Mbps upload na 20 Mbps download, intenet inayokidhi mahitaji ya nyumbani, kazini na kwenye biashara.

Habari Picha 10297

 

 

 

 

 

 

 

You Might Also Like

Erio atoa elimu ya bidhaa bandia kwenye mabanda nanenane

Fikeni kwa wakati CMA, mtatuliwe migogoro ya kikazi – Massawe

Biteko Atoa Somo Uzalishaji Matumizi ya NIishati Afrika

Nchi Za SADC Zahimizwa Kutunza, Kulinda Amani

Mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais Samia Suluhu Hassan, kuongoza Kamati Kuu Maalum kesho

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mwigulu: Wavivu, Wazembe, Wala Rushwa Serikalini Jiandaeni Na Fyekeo
Next Article Jackline Mzindakaya: Uteuzi wa Mwigulu Ni Chaguo Sahihi kwa Taifa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?