MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Shibuda: WanaMaswa jitokezeni kupiga kura bila woga
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Shibuda: WanaMaswa jitokezeni kupiga kura bila woga
Habari

Shibuda: WanaMaswa jitokezeni kupiga kura bila woga

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
MASWA MAGHARIBI:  MGOMBEA ubunge wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Shibuda, amewataka WanaMaswa kujitokeza bila woga kukata rufaa ya maisha yao Oktoba 29 mwaka huu.
Akimkaribisha jimboni humo mgombea urais wa CHAUMMA, Salum Mwalim, Shibuda amewataka wananchi waamke na kuuondoa umaskini uliotengenezwa na chama tawala tangu uhuru.
“Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo. Nichagueni nikayasemee matatizo ya kijamii na kiuchumi yanayoikwaza jamii na uchumi, maana dawa ya jino bovu ni kung’oa,” amesema.
Habari Picha 10191
Habari Picha 10192

You Might Also Like

Rais Wa CWT Suleiman Ikomba Sasa Ni Daktari

Miaka 60 Mikumi na mapinduzi makubwa sekta ya utalii

Rais Samia: Majaji na Mahakimu Simamieni Haki

Wahitimu 3,561 wa Mafunzo Ya Huduma Za Afya Ngazi Ya Jamii,Wapatiwa Vitendea Kazi

Singida Yapokea Zaidi Ya Milioni  Moja 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Daktari: Saratani ya Matiti Inazuilika, Inatibika
Next Article Wananchi wahamasishwa kuandika historia mpya kupitia kura
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mavunde: Makaa ya Mawe Ni Injini ya Maendeleo ya Viwanda
Habari March 30, 2026
Programu Mpya ya TPHPA Yalenga Usalama wa Mazao Sokoni
Habari March 30, 2026
CHAKUHAWATA Yaimarisha Ulinzi wa Haki za Walimu, Yafikia Wanachama 49,750
Habari March 29, 2026
Upungufu wa Wataalamu wa Ustawi wa Jamii Wachangia Changamoto Kwenye Huduma za Jamii
Habari March 28, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?