MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Zungu Achaguliwa Kuwa Spika Mpya Wa Bunge La 13
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Zungu Achaguliwa Kuwa Spika Mpya Wa Bunge La 13
Habari

Zungu Achaguliwa Kuwa Spika Mpya Wa Bunge La 13

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa Spika wake mpya, ambapo Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, amechaguliwa kwa ushindi wa kishindo kuwa Spika wa Bunge la 13.
Zungu amepata kura 378 kati ya kura zote zilizopigwa na wabunge, na hivyo kumpa nafasi ya kuliongoza chombo hicho muhimu cha kutunga sheria.
Uchaguzi huo umefanyika leo Novemba 11, 2025, jijini Dodoma, katika kikao cha kwanza cha Bunge jipya baada ya uchaguzi mkuu.
Kwa ushindi huo, Zungu anachukua jukumu zito la kusimamia shughuli zote za Bunge, kuhakikisha uwajibikaji wa serikali, na kuimarisha utekelezaji wa majukumu ya wabunge kwa manufaa ya wananchi wote wa Tanzania.
Katika kinyang’anyiro hicho, wagombea wengine walikuwa Veronica Tyeah (NRA) kura 0, Anitha Mgaya (NLD) kura 0, Chrisant Nyakitita (DP)  kura 0, Ndonge Ndonge (AAFP)  kura moja na Amin Yango (ADC) kura moja.
Ushindi wa Zungu unaashiria kuungwa mkono kwa wingi na wabunge wenzake, huku wengi wakieleza matumaini kuwa ataendeleza misingi ya umoja, nidhamu, na uwazi ndani ya Bunge hilo jipya.

You Might Also Like

JOWUTA : Waandishi Vitendeeni Haki Vyama Vyote

Mtafiti UDSM Atafiti Mimea Ya Asili Kudhiti Fangasi Kwenye Mimea

Mkenda: Tunahitaji Ushirikiano Baina Ya Viwanda Na Wazalishaji

Tanzania,  na Taasisi ya BVGH kuimarisha huduma za saratani

Rais Samia Kuzindua Mfuko wa Mikopo Wenye Kianzio Cha Sh. Bilioni 2.3

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Waratibu Wa Kitaifa Wa Nchi Za Jumuiya Ya Ukanda Wa Maziwa Makuu Wakutana Kinshasa
Next Article Watumishi Wa Afya Waliofadhiliwa Watakiwa Kukamilisha Taratibu Ifikapo Novemba 22,2025
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?