Waziri Ridhiwani: Vyama Vya Wafanyakazi, Nguzo Ya Mahusiano Mema Mahali Pa Kazi
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu idhiwani Kikwete wakati akiwahutubia Wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli na wanaohusiana na shughuli za Reli (RAWUTA) leo Machi 20 2025 mjini Dodoma.
Ridhiwani amewaasa kuwa nguzo muhimu katika kujenga mahusiano yenye tija mahali pa kazi, vinavyotetea masuala yote yanayogusa maslahi na haki zao za msingi.