MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Waziri Ndejembi Aongoza Kikao Maalum Kuimarisha Usalama Wa Upatikanaji Wa Mafuta Nchini
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Waziri Ndejembi Aongoza Kikao Maalum Kuimarisha Usalama Wa Upatikanaji Wa Mafuta Nchini
Habari

Waziri Ndejembi Aongoza Kikao Maalum Kuimarisha Usalama Wa Upatikanaji Wa Mafuta Nchini

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nishati,  Deogratius Ndejembi, ameongoza kikao kazi cha pamoja na taasisi zinazoshughulikia sekta ya mafuta na gesi katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Nishati, jijini Dar es Salaam.
Habari Picha 13079
Lengo la kikao hicho ni kuweka mikakati madhubuti ya kuimarisha usalama wa upatikanaji na usambazaji wa mafuta nchini, sambamba na kuendelea kuhakikisha nchi inakuwa na akiba ya kutosha ya mafuta katika kipindi hiki cha mgogoro wa vita ya Mashariki ya kati kuliko pelekea kufungwa kwa mlango bahari wa Hormuz  na changamoto zinazoendelea kujitokeza katika soko la kimataifa.
Habari Picha 13080
Kikao hicho kimehudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dkt. James Mataragio; Kamishna wa Mafuta, Godluck Shirima; Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Salum Mnuna; Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC,  Mussa Makame; Mkurugenzi Mtendaji wa PBPA, Erasto Simon; pamoja na wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na taasisi zake.

You Might Also Like

BRELA Yazindua Baraza La Wafanyakazi

Wanawake Taasisi za Kitafiti Watoa Furaha Kwa Waliojifungua, Madaktari, Manesi Kawe Kituo Cha Afya

UDSM,YULHO kujenga kituo cha kupima madini

Serikali Yasisitiza Utoaji Huduma Bora Utekelezaji Bima Ya Afya

TPHPA Yaelezea Vipaumbele Vyake

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TTCL Yatumia Nanenane Kuelimisha Kuhusu Huduma Ya Kuhifadhi Taarifa Kidijitali
Next Article IITA, TARI Wabuni Teknolojia Inayoharakisha Uzalishaji Wa Mbegu  Bora Za Muhogo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

IITA, TARI Wabuni Teknolojia Inayoharakisha Uzalishaji Wa Mbegu  Bora Za Muhogo
Habari August 4, 2026
TTCL Yatumia Nanenane Kuelimisha Kuhusu Huduma Ya Kuhifadhi Taarifa Kidijitali
Habari August 3, 2026
Nishati Ni Chachu Ya Kilimo, Uchumi Na Maendeleo  Ya Vijijini – Saidy
Habari August 3, 2026
August 3, 2026
Habari August 3, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?