MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari

Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ametoa wito kwa wananchi kutowachagua wagombea wanaomba nafasi hizo kwa kutoa rushwa.
Amesema hayo alipotembelea banda la Mamlaka ya kupambana na kuzuia Rushwa TAKUKURU wakati wa maonesho ya wiki ya Utumishi katika viwanja vya chinangali Park Jijini Dodoma.
Amesema Serikali haitavumilia miradi yoyote inayoisimamia iwapo itabainika kuwa na viashiria vya rushwa.
Amesema  ni jukumu la TAKUKURU kuhakikisha nidhamu ya fedha inazingatiwa kikamilifu hususani katika kipilmdi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Pia amesema uwazi na uwajibikaji ni nguzo muhimu katika kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa tija na kwa faida ya wananchi wote, huku akiwataka watumishi wa umma kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kulinda maslahi ya taifa.
Kwa upande wake Mkuu wa Kitengo cha Uelimishaji Umma – TAKUKURU Mkoa wa Dodoma, Faustine Malecha, amesema taasisi hiyo inatumia maonesho hayo  kuelimisha jamii kuhusu athari za rushwa kwenye uchaguzi na utekelezaji wa miradi ya umma.
“Tunahakikisha wananchi wanajengewa uelewa juu ya haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi bora bila kushawishiwa kwa rushwa, kwani chaguo la viongozi kwa misingi ya hongo hudhoofisha maendeleo ya jamii nzima,” amesema.
Amesisitiza kuwa Taasisi yake imejipanga kusimamia nidhamu ya matumizi ya fedha za umma kwa karibu zaidi, ili kuhakikisha miradi ya maendeleo haigeuki kuwa mwanya wa kujipatia utajiri wa haramu.
“Tutashirikiana na Wananchi kuhakikisha kuwa kila hatua ya utekelezaji wa miradi inazingatia sheria, kanuni na maslahi ya taifa,” amesema

You Might Also Like

Serikali Kulinda Wabunifu Wa Silaha

Mfumo Wa Kuwabana Wachafuzi Wa Choo umetengenezwa

Katiba Na Sheria Kutoa Kipaumbele Kusikiliza Malalamiko Ya Wananchi

Tanzania Kidedea Tuzo Ya Mashindano Ya Kimataifa  Usalama wa Barabara

DIT Mwanza   Kutoa Kozi Ya Kuchakata Ngozi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Next Article NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Aituza UDSM kwa Kuongoza Eneo La Elimu, Utafiti, Ubunifu Sabasaba 2025
Habari July 14, 2025
Nyanya Cheri na Ngogwe Chungu Zarejea 
Habari July 13, 2025
NFRA Yawaalika Wadau Kununua Nafaka kwa Masoko ya Ndani na Nje
Habari July 13, 2025
Kafulila: Ushirikiano wa Sekta Binafsi na Umma Kuboresha Huduma
Habari July 13, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?