MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: VETA Yaondoa Sare Kwa Wanafunzi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > VETA Yaondoa Sare Kwa Wanafunzi
Habari

VETA Yaondoa Sare Kwa Wanafunzi

Author
By Author
Share
2 Min Read
Habari Picha 11282

Na Lucy Lyatuu, Dodoma

MAMLAKA Ya Elimu Na Mafunzo Ya Ufundi Stadi ( VETA)  imesema imeondoa suala la uvaaji wa sare za chuo kwa wanafunzi wanaosomea ujuzibalimbali katika Mamlaka hizo ili kuwezesha watanzania walio wengi kusoma na kupata elimu.
Habari Picha 11281
Mkurugenzi wa VETA, Anthony Kisore amesema hayo  wakati akizungumza kuhusu jitihada za ueendelezaji ufundi stadi  nchini na fursa kwa vijana.
Kuhusu sare kwa wanafunzi amesema Mamlaka imeamua kuondoa  sare ili kuwezesha watu mbalimbali wakiwemo wenye umri tofauti kuweza kuchukua hatua na kupata elimu na ujuzi katika mamlaka hiyo.
Amesema kuondolewa kwa sare katila Mamlaka hiyo hakumaanishi kila mwanafunzi atavaa awezavyo bali upo muongozo wa uvaaji nadhifu kwa kilamoja na wenye kuzingatia maadili.
” Upo muongozo wa mavazi kwamba lazima yawe nadhifu.. Na kwamba hata wakati wa kwenda katika karakana za mafunzo, mwanafunzi atapaswa kuvaa kulingana na somo husika, ” Amesema Kisore na kuongeza kuwa kuondolewa kwa sare lunawavuta wale walioogopa kujiunga na Mamlaka hiyo wakihofia suala la kuvaa sare za chuo.
Amesema pamoja na kuondolewa kwa sare lakini uvaaji sio kwa matakwa ya mwanafunzi nali ni wenye kuwa madhifu na wenye maadili ya mtanzania.
Kuhusu fursa kwa vijana kupitia miradi amesema Mamlaka hiyo inaendesha mradi wa ujasiriamali kwa vijana kwa mustakabali wa chakula na kilimo ambao utanufaisha vijana 5631.
Amesema mradi huo ambao unatoaafunzo bure kwa vijana utafundisha teknolojia ya utengenezaji wa zana za kilimo, lengo ni kuwa na wataalam wa zana hizo na utasaidia pia vijana kupata ajira.
“Hakuna ada wala malipo mengine kwa mafunzo katika mradi huu, kinachotakiwa ni kijana kuwa na muda wa kujifunza na utatekelezwa kupitia VETA Kihonda, Manyara,,Mpanda na Arusha na vyuo hivyo vitatoa mafunzo ya muda mfupi.

You Might Also Like

TRAWU yapigania mkataba hali bora za kazi miaka 11 sasa

Tanzania Ipo Tayari Kwa Mazungumzo Ya Urejeshwaji Malikale

TALGWU Taifa Yataja Kero Saba Kubwa za Watumishi wa Serikali za Mitaa

Miradi ya Maendeleo Isimamiwe kwa Uadilifu

Kamati Ya Bunge Yakagua Mradi Wa Nyumba NSSF

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Diwani Kata Ya Majengo Awasihi Wananchi Kufanya Kazi Kwa Bidii
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Diwani Kata Ya Majengo Awasihi Wananchi Kufanya Kazi Kwa Bidii
Habari February 16, 2026
Tanzania Yalenga Kufikia Asilimia 51 Ya Ushiriki Wa Wanawake Katika Sayansi
Habari February 14, 2026
Makamu wa Rais Asisitiza Ubunifu, Uwekezaji Soko La Hisa La Dar es Salaam
Habari February 13, 2026
JAB Yasisitiza Ithibati Kama Njia ya Kuimarisha Ubora na Uaminifu wa Habari
Habari February 13, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?