MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Uzalishaji wa chuma kuanza nchini 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Uzalishaji wa chuma kuanza nchini 
Habari

Uzalishaji wa chuma kuanza nchini 

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
SHIRIKA la Maendeleo la Taifa (NDC) limesema mradi wa kwanza wa kuzalisha chuma   nchini na Afrika Mashariki wa Maganga Matitu unatarajiwa kuanza utekelezaji  Januri 2025, tayari mwekezaji amepatikana huku uwekezaji wake ukifikia dola  milioni 77.4.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) Nicolaus Shombe amesema hayo leo Dar es Salaam mbele ya Waziri wa Viwanda na Biashara alipotembelea shirika hilo kuzungumza na wafanyakazi.
Amesema mkataba kwa ajili ya kuanza kwa mradi huo utasainiwa ijumaa wiki hii(Agosti 2,2024) na wanatarajia kuanza kuchimba kiasi cha tani milioni moja kwa mwaka lakini  kadri uwekezaji unavyoendelea wanaweza kuongeza pia.
Amesema mwekezaji anaaza kulipa fidia watu waondoke na kuweka  mashimo Kwa ajili ya kuanza.
 ” Mkataba  wa mradi huu una mpango wa utekelezaji kwamba mwekezaji  asipotekeleza mkataba unaweza kusitishwa,” amesema Shombe na kuongeza kuwa katika uwekezaji huo, mwekezaji atakuwa na asilimia 64 na Serikali 36.
Akimtaja mwekezaji huyo kuwa ni Fujian xho Company Limited ambaye wameingia naye ubia  Na kwamba Yuko nchini, ana kiwanda kingine.
Shombe  amesema Kwa sasa hivi viwanda vyote vya chuma vinatumia malighafi za chuma chakavu, hivyo kiwanda hicho kitazalisha chuma ghafi ambazo zitatumiwa na viwanda vingine na bidhaa nyingi za chuma zitasaidika na kiwanda hicho.
Amesema  ukikamilika utakuwa na faida kubwa, kutoagiza tena  bidhaa hiyo kutoka nje ya nchi, lakini pia  Tanzania inaweza kuuza nje ya nchi na kupata fedha za kigeni na kusaidia viwanda kupata malighafi na kuongeza ajira na kusaidia taifa.
.
Akizungumza Jafo  ameagiza NDC kuhakikisha miradi yote inafanyiwa kazi na kusimamia taratibu ziweze kukamilika na kupata wawekezaji.
Amesema NDC  ni shirika kubwa linategemewa na Taifa  hivyo liifanye vizuri Kwa kuwa ni roho ya uchumi.
“Tujue  tuna dhana na  kubwa ya kutunza rasilimali
Tunahitaji uratibu imara ….tutapambana pamoja kuhakikisha NDC inafanya vizuri tumsaidie Rais,” amesema Jafo.

You Might Also Like

TARI Yanufaisha Wadau Wa Kilimo, Ugunduzi Wa Mbegu Bora Na Za Kisas

Afrika yatakiwa kutokuwa na Matabaka katika kutekeleza AFCFTA 

NEMC Kupambana Na Magugu Maji Ziwa Victoria

Majaliwa: Anwani Za Makazi Kupunguza  Safari Kwa Viongozi

Ridhiwani akutana na Mtendaji Mkuu ATE

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article DIT kudhibiti nzi wa maembe kisasa
Next Article Rais Samia kufanya ziara mkoani Morogoro, kuzindua safari za SGR
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?