MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: UVCCM Yazindua Kampeni Ya Kutetea Ukweli, kutokomesha Upotoshaji, Uongo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > UVCCM Yazindua Kampeni Ya Kutetea Ukweli, kutokomesha Upotoshaji, Uongo
Habari

UVCCM Yazindua Kampeni Ya Kutetea Ukweli, kutokomesha Upotoshaji, Uongo

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imezindua kampeini maalumu ya Kijani Fact Scan yenye lengo la kutetea ukweli katika Taifa na kutokomeza upotoshaji na uongo.
Hayo yameelezwa na Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Jessica Mshana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohamed Kawaida katika ukumbi wa mikutano wa umoja huo Jijini Dodoma.
Jesca amesema kuwa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi kumekuwepo na tabia kubwa ya upotoshaji na kauli za kuichafua Serikali na chama tawala jambo ambalo kwa sasa linaenda kujibiwa na kampeini hiyo maalum.
“Katika  kipindi cha hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko la taarifa za upotoshaji dhidi ya Serikali,viongozi ,chama cha mapinduzi na Jumuiya zake hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu.
“Kwa masikitiko makubwa ,upotoshaji unaofanywa na baadhi ya wanaharakati ,baadhi ya wanasiasa na hata baadhi ya watu kutoka ndani na nje ya nchi kwa makusudi ya kupotosha Umma ,kuchafua taswira ya taifa na kuvuruga amani ya nchi na mshikamano wa kijamii kampeini hiyo itafanya kazi kubwa ya kujibu upotoshaji huo kwa hoja,” amesema Jesca.
Amesema  kampeini hiyo itafanya opareisheni ya kizalendo ya kukabiliana na upotoshaji na kupitia KijaniFactScan itahusika kutoa taarifa sahihi na elimu kwa Umma juu ya taarifa potofu zinazozunguka na njia ya kukabiliana nazo.
Aidha amesema kuwa kampeini hiyo itahusika kujibu hoja kwa hoja kwa kutumia ushahidi,Takwimu na tafsiri sahihi.
Jesca ameeleza kuwa kampeini hiyo itahakikisha propaganda chafu na kuziba mianya yote ya upotoshaji pia ataahirikishwa kila kijana na kila mwana jamii mzalendo kuwa sehemu ya ulinzi wa Taifa dhidi ya upotoshaji.
Katika hatua nyingine amesema Mei 23 mwaka huu UVCCM Taifa watakuwa na baraza kuu maalum jijini Dodoma

You Might Also Like

Ndunguru: Mabadiliko Ya Tabianchi Yanachangia Kuwepo Kwa Magonjwa, Wadudu Kwenye Mazao

SPIKA asisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 

Vijana Wahimizwa Kushiriki Kikamilifu Soko Huru la Afrika

Ridhiwani: Ili Kufikia Muafaka Masuala Ya Kazi, Serikali Inahimiza  Vyombo Vya Mashauriano

Kikwete: Waambieni Tunataka Maendeleo Sio Maneno

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tanzania Na Namibia Kuongeza Juhudi Kukuza Ushirikiano Wa Kiuchumi
Next Article Ulega : Nimeridhisha Na Hatua Iliyofikiwa, Ongezeni Kasi Zaidi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Wanaosimamia Mitandao Ya Serikali Wadhibiti Usalama Wake
Habari May 22, 2025
Kilimo Yaomba Trilioni 1.24 Mwaka Wa Fedha 2025/26
Habari May 22, 2025
Ulega : Nimeridhisha Na Hatua Iliyofikiwa, Ongezeni Kasi Zaidi
Habari May 22, 2025
Tanzania Na Namibia Kuongeza Juhudi Kukuza Ushirikiano Wa Kiuchumi
Habari May 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?