MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Utafiti UDOM Wawezesha Plastiki Kutengeneza Mafuta Mazito Ya Viwanda, Mkaa Na Tiles
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Utafiti UDOM Wawezesha Plastiki Kutengeneza Mafuta Mazito Ya Viwanda, Mkaa Na Tiles
Habari

Utafiti UDOM Wawezesha Plastiki Kutengeneza Mafuta Mazito Ya Viwanda, Mkaa Na Tiles

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimefanya utafiti wa kubadili plastiki kupata mafuta mazito na mkaa.

Akizungumza katika maonesho ya Sabasaba mkoani Dar es Salaam, Mhadhiri wa chuo hicho, Dkt. Adrian Pamaini alieleza hayo kwa Mfanyakazi Tanzania.

Amesema kutokana na plastiki kusambaa ovyo wametatua changamoto hiyo kwa kutengeneza bidhaa hizo ambapo mafuta mazito yanatumika kwenye mitambo mbalimbali ya viwanda.

“UDOM tumekuja na jawabu la kuchukua plastiki kubadili kupata mafuta hayo mazito na mkaa.

” Tunachoma plastiki joto la juu na kupozwa ndipo yanapatikana mafuta hayo. Mabaki yake kutengenezea mkaa na tiles.

“Tunaendelea na utafiti zaidi. Na katika utafiti wetu tuliona ukichoma kilo moja ya plastiki inaweza kutoa mafuta nusu lita,” amesema.

Ameongeza kwamba utafiti huo utapunguza usambaaji ovyo wa plastiki mitaani.

You Might Also Like

Wananchi Wahimizwa Kulinda Maeneo Yaliyohifadhiwa  Kisheria- Kamishna  Wakulyamba

Wanafunzi UDOM Wavumbua Mafuta ya Asili Kutoka Mabaki ya Zabibu

THBUB Mdau Mkubwa Utekelezaji Wa Majukumu 

Malecela: Nitakuza Vipaji, Nitafutia Vijana Ajira Dodoma Mjini

Waziri wa Vijana akutana na Mwita wa Zanzibar

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article LATRA Yaboresha Mfumo Wa Taarifa Kwa Abiria
Next Article Utafiti Wa Roketi UDOM Uko Mbioni Kukamilika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Apongeza Jeshi La Magereza Kurasimisha Ujuzi Kwa Wafungwa
Habari August 27, 2025
Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano
Habari August 27, 2025
Majaliwa Aagiza Kuimarishwa kwa Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini
Habari August 27, 2025
VETA Yaanzisha Kozi Mpya ya Teknolojia ya Mifumo ya Viwandani
Habari August 26, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?