MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Usafirishaji Shehena Waingiza Dola Bilioni 3.54
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Usafirishaji Shehena Waingiza Dola Bilioni 3.54
Habari

Usafirishaji Shehena Waingiza Dola Bilioni 3.54

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Afya ya Mmea na Viuatilifu (TPHPA), imewezesha usafirishaji wa shehena  za mazao mbalimbali tani milioni 3.5 kwenda nje ya nchi, kupitia ukaguzi wa mipaka.
Aidha usafirishaji wa shehena hizo umeingizia Tanzania Dola Bilioni 3.54 kwa mwaka kupitia ukaguzi unaofanywa mipakani.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mmea na Viuatilifu (TPHPA), Profesa Joseph Ndunguru amesema hayo alipozungumza na Mwandishi wa Mfanyakazi Tanzania.
Profesa Ndunguru amesema pia mamlaka hiyo imekamilisha nyaraka za kufungua masoko kwa mazao tisa katika nchi 14 ambazo tayari nyaraka hizo zimekabidhiwa balozi za nchi husika.
“Ufunguaji wa masoko hayo utaingizia Tanzania kiasi cha Dola Bilioni 3.5 kwa mwaka.
“Uwezeshaji wa masoko tayari shehena ya kwanza ya parachichi imesafirishwa kwenda China,” amesema.
Kwa upande mwingine Profesa Ndunguru amesema, mamlaka hiyo imewezesha upatikanaji taarifa za kufungua masoko kwa mazao tisa katika nchi 14.
Ameyataja mazao hayo kuwa ni vanilla, soya, parachichi, mananasi, viazi mviringo na mengineyo.
Amesema taarifa hizo wameshapatiwa nchi husika na tayari taratibu za kuuza mazao kwenye nchi hizo zinaendelea.
“Kwa hiyo kwa sasa hivi mamlaka kwa kuwepo kwetu mipakani ofisi 36 hizo  pamoja na mipaka ya nchi kavu na viwanja vya ndege sasa takwimu za mauzo ya mazao yanayoenda nje na kuingia ndani zinapatikana TPHPA.
“Sasa hivi unaweza kuitisha taarifa yoyote hata sasa hivi nikitaka kujua mpaka wa Tunduma mwezi huu wamepitisha mazao gani, wameingiza fedha kiasi gani unaipata kwenye kituo chetu cha Arusha.
“Kwa hiyo ukitaka kwa mwezi kwa mwaka utapata kila kitu, na kwa zao unapata data zake,” amesema.
Amesema data hizo zinatumiwa pia na Wizara ya Kilimo kwa ajili ya kupata majibu ya taarifa mbalimbali.

You Might Also Like

Kampuni ya Kichina CCCC yatoa msaada wa vitabu UDSM

Wafanyakazi Majumbani Walia: ‘Tunaishi Katika Mazingira Hatarishi’

Watanzania Tuendelee Kudumisha Amani-Dk Biteko

Mwalim: Nikichaguliwa urais, Kigaila atakuwa Waziri Mkuu wangu

Dkt  Biteko ashiriki  Kikao Cha Mawaziri  wa Nishati  Uganda

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TPHPA Yanunua Ndege Kudhibiti Visumbufu Vya Mazao
Next Article NHIF Kuingia Makubaliano Na Mawakala Usajili Wa Wananchi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaweka Mkazo Kufufua Viwanda Musoma Ili Kuongeza Ajira
Habari April 24, 2026
Program Ya Mama Samia Ya Kurasimisha Ujuzi Yazinduliwa
Habari April 23, 2026
TEA, Wizara ya Elimu Zanzibar Kushirikiana Kuimarisha Miradi ya Elimu
Habari April 23, 2026
Bajeti Yadhihirisha Uhakika Wa Nishati Nchini
Habari April 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?