MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Umwagiliaji kumwezesha mkulima kulima mara mbili mpaka tatu kwa mwaka
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Umwagiliaji kumwezesha mkulima kulima mara mbili mpaka tatu kwa mwaka
Habari

Umwagiliaji kumwezesha mkulima kulima mara mbili mpaka tatu kwa mwaka

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DODOMA; TUME ya Taifa ya Umwagiliaji inaendelea na uchimbaji wa visima 1000 kwa nchi nzima katika mwaka huu wa fedha 2024/ 2025.
Mhandisi kutoka Tume hiyo, Naomi Mcharo amesema hayo katika maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi yajulikanayo kama nane nane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma.
Amesema uchimbaji huo utamwezesha mkulima wa Tanzania kulima kilimo cha umwagiliaji, kwa kulima mara mbili mpaka tatu kwa mwaka badala ya kutegemea mvua ili ajitosheleze kwa chakula.
Kutokana na jitihada hizo za serikali, Naomi amewaalika wananchi katika banda la tume hiyo, kwa ajili ya kupata maelezo ya kina kuhusu maeneo ya  uchimbaji visima, vikundi gani vinahusika katika kuchimba visima na kuweka miundombinu ya umwagiliaji.
“Kwa hiyo tunawakaribisha sana katika banda letu ili mjionee teknolojia mbalimbali za umwagiliaji. Muweze kujionea miradi ambayo tunaendelea nayo katika mwaka huu wa fedha,” amesema.
Amesema wananchi katika banda la tume hiyo watajionea miradi inayotekelezwa nchi nzima ikiwemo ya uchimbaji wa visima, ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya umwagiliaji .
“Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imejipanga na inaendelea na utekelezaji wa azma yavRais Samia Suluhu Hassan ya Tanzania kujitosheleza  kwa chakula, kuilisha Afrika na kuilisha dunia,” amesema.

You Might Also Like

Serikali Kumuenzi Mzee Morris, Ngoma Zake 10

Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Wanaotumika Vibaya Waonywe

Tanzania Ipo Tayari Kwa Mazungumzo Ya Urejeshwaji Malikale

Ufugaji wa sungura ni fursa  – UDOM

Timu Ya Watanzania Ikiongozwa Na Profesa Ndunguru, Yakutana Na Balozi Zambia

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Erio atoa elimu ya bidhaa bandia kwenye mabanda nanenane
Next Article TARURA yaimarisha ubora wa barabara kwa kuwa na maabara mikoani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?