MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ujenzi Miundombinu ya Kuongeza Udahili kipaumbele Cha Serikali
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ujenzi Miundombinu ya Kuongeza Udahili kipaumbele Cha Serikali
Habari

Ujenzi Miundombinu ya Kuongeza Udahili kipaumbele Cha Serikali

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI Zainab Katimba amesema kipaumbele cha Serikali kwa sasa katika ujenzi wa shule ni uimarishaji wa ujenzi wa miundombinu ya msingi inayowezesha kuongeza nafasi za udahili wa wanafunzi katika shule mbalimbali.

Katimba amesema licha ya Serikali kutambua uhitaji mkubwa wa ujenzi wa uzio kwa ajili ya ulinzi na usalama wa mali za shule na wanafunzi wa bweni, lakini kwa sasa imejikita zaidi kwenye udahili wa wanafunzi ili kuwawezesha kuanza masomo.

Katimba ameyasema hayo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali na Majibu wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Kondoa Ally Juma aliyetaka kujua mpango wa Serikali wa kupeleka fedha za ujenzi wa uzio wa Shule ya Wasichana Kondoa ili kuimarisha ulinzi na usalama wa wanafunzi.

Amesema kwa mwaka wa fedha 2021/22 na 2023/24 Serikali kuu imepeleka zaidi ya sh milioni 600 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali ikiwemo Vyumba vya Madarasa nane, Mabweni mawili, Matundu ya vyoo 14 na Vitanda 660 katika Shule ya Wasichana Kondoa kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita.

You Might Also Like

Tume ya umwagiliaji yapambana kuinua kilimo

VETA Mara Wabuni Mtambo Wa Kuchakata Maji Kwa Samaki Wanaofugwa

Tanzania Na Namibia Kuongeza Juhudi Kukuza Ushirikiano Wa Kiuchumi

Samia Azindua Shule ya Msingi ya Mchepuko wa Kiingereza Songea

Miaka Minne Ya Samia Na Sekta Ya Elimu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mfumo Uendeshaji Mashauri Kidigitali Kwa Watumishi wa Umma Uharakishwe
Next Article Simbachawene: Simu za mkononi zinaondoa umakini kwa watumishi wa umma
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?