MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TARURA yaimarisha ubora wa barabara kwa kuwa na maabara mikoani
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TARURA yaimarisha ubora wa barabara kwa kuwa na maabara mikoani
Habari

TARURA yaimarisha ubora wa barabara kwa kuwa na maabara mikoani

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DODOMA;  WAKALA ya Barabara ya Vijijini na Mijini (TARURA), imewekeza maabara 10 katika mikoa mbalimbali nchini ili kusimamia utengenezaji bora wa barabara.
Fundi Sanifu Mkuu Maabara ya TARURA, Jacob  Manguye amesema hayo katika maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi yanayoendelea viwanja vya Nzuguni Dodoma.
Amesema mbali na maabara iliyoko Dodoma, nyingine ziko mikoa ya Mbeya, Geita, Kigoma, Simiyu, Tanga, Mtwara na Mwanza.
Mikoa mingine ni Ruvuma, Morogoro, Arusha na Ilala Dar es Salaam.
Amesema ili barabara nzuri itengenezwe lazima ianzie maabara kwa kupima sampo za udongo, kokoto, lami ama bidhaa za ujenzi wa barabara.
“Barabara nyingi zinaharibika kwa sababu aidha watu hawapimi ili waweze kuoata uhakika kuwa udongo ule wanaotaka kujenga kwenye barabara unahimili.
“Maana yake ni kwamba magari yanapopita na uzito wake , barabara iweze kuhimili bila kubonyea au bila kusambaratika baada ya kutengenezwa,” amesema.
Amesema uwepo wa maabara hizo kwenye mikoa unarahisisha usimamizi ili kazi za tarura ziwe imara.

You Might Also Like

Watahiniwa 72 wa kidato cha nne wafutiwa mtihani kwa udanganyifu, kuandika lugha za matusi

Maadhimisho Ya VETA Ya Miaka 30 Kuhitimishwa Machi 18 Hadi 21, DSM

Usekelege: Kati ya Migogoro Tunayoipokea Ipo ya Wafanyakazi Majumbani

Chatanda Ampongeza Samia, Aahidi Kuinua Wanawake Kiuchumi

Trilioni 11.5 Zimetumika Miradi Ya Maendeleo Kigoma

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Umwagiliaji kumwezesha mkulima kulima mara mbili mpaka tatu kwa mwaka
Next Article TARURA yaokoa kiasi kikubwa cha fedha kwa kujenga madaraja ya mawe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?