MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mfumo wa Usalama Majumbani, Umewakumbuka Wenye Ulemavu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mfumo wa Usalama Majumbani, Umewakumbuka Wenye Ulemavu
Habari

Mfumo wa Usalama Majumbani, Umewakumbuka Wenye Ulemavu

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DAR ES SALAAM: MWANAFUNZI wa Mwaka wa Pili, Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Mtwara, Jeremia Mirobo amebuni mfumo wa usalama majumbani.
Mirobo ambaye amesomea fani ya umeme wa majumbani amebuni mfumo wa kuzima taa au umeme ambao unamzuia mtu asisogele luninga kwa sababu ya usalama wa macho yake.
Pia mfumo huo ukiwa umefungwa, kisha gesi ikawa inavuja ndani ya nyumba, huo mfumo utazima umeme kisha, utarudisha umeme gesi itakapoisha.
“Kuna wale ambao hawana mikono hivyo hawawezi kuwasha taa kwa kubonyesha, kwa hiyo watapuliza kuwasha, watapuliza tena kuzima,” amesema.
Ameongeza kuwa mfumo huo alioufanyia utafiti mtu anaweza kuuendesha akiwa mbali, na kutolea mfano mtu akiacha  taa  zinawaka kwa kusahau kuzima, kwa kutumia simu ya mkononi iliyounganishwa za mfumo itawezekana kuizima popote mtu huyo atakapokuwa.

You Might Also Like

Pato la Mwananchi Lapanda Tabora

Serikali Kuja Na Mwongozo Wa Kuimarisha Ushirikishwaji Jamii Katika Masuala Ya Afya

Spika Tulia Kufungua Kongamano La Uhuru Wa Wanataaluma Afrika UDSM

Lukuvi Asema 2024 Bangi Ilivunja Rekodi, Tani Zaidi Ya 2000 Zilikamatwa

Mwalim: Lindi, Mtwara Tajiri kwa  Rasilimali, Maskini kwa Uongozi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA Shinyanga Waja Na Mafunzo Ya Saluni, Mapambo, Urembo
Next Article Bodi ya Bima ya Amana Yatoa  Bil 9.07 , Fidia Kwa Wateja Wa Benki Saba   Zilizofilisika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Ziwa Ngozi Lavuta Mamia Sabasaba, Wageni Washangazwa Na Ramani Ya Afrika Juu Ya Mlima
Habari July 9, 2026
Shirika La Uzalishaji Mali La Polisi Kujenga Vituo Vya Ukaguzi Wa Vyombo Vya Moto
Habari July 9, 2026
Watumishi 7881 Watakaostaafu 2026/27 Watambuliwa Kupitia Kampeni Ya Tunalipa Jana-PSSF
Uncategorized July 8, 2026
Katambi Apongeza Zimamoto Kwa Uwekezaji Wa Vifaa Vya Kisasa
Uncategorized July 7, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?