MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Yawekeza Katika Utafiti wa Alizeti, Wakulima Wapate Mbegu Bora
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Yawekeza Katika Utafiti wa Alizeti, Wakulima Wapate Mbegu Bora
Habari

Serikali Yawekeza Katika Utafiti wa Alizeti, Wakulima Wapate Mbegu Bora

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
MOROGORO: KATIKA juhudi za kuongeza uzalishaji wa mafuta ya alizeti nchini, Serikali kupitia Taasisi ya Utafiti wa Kilimo  Tanzania (TARI) imewekeza katika utafiti wa mbegu bora za alizeti zitakazosaidia wakulima kuongeza tija mashambani.
Kwa mujibu wa Mtafiti Msaidizi kutoka TARI Ilonga, Daniel Mashati, taasisi hiyo imefanikiwa kuendeleza aina tatu bora za mbegu za alizeti ambazo ni Record, TARI NAL 2019, na TARI ILO 2019.
Mashati amesema mbegu hizo ni za aina ya chavua na zimeonyesha uwezo mkubwa wa kutoa mazao mengi endapo mkulima atazingatia kanuni bora za kilimo.
Akizungumzia kuhusu nafasi ya upandaji, Mashati amesema kuwa kwa mbegu ndefu kama Record na TARI NAL 2019, mkulima anapaswa kupanda kwa nafasi ya sentimita 75 kati ya mstari na mstari, na sentimita 30 kati ya mche na mche.
Kwa upande wa mbegu fupi kama TARI ILO 2019, nafasi sahihi ni sentimita 60 kati ya mstari kwa mstari, na sentimita 30 kati ya mche kwa mche.
Amesema bado mahitaji ya mafuta ya kula nchini ni makubwa kuliko uzalishaji wa ndani, hali hiyo imeilazimu serikali kuendelea kuwekeza katika tafiti za mbegu bora ili kuhakikisha wakulima wanapata mbegu zenye ubora, zinazotoa mavuno mengi na hivyo kusaidia kupunguza uagizaji wa mafuta kutoka nje ya nchi.

You Might Also Like

Serikali imejipanga Mkakati wa Taifa wa Matumìzi ya nishati safi ya kupikia – Mramba

BoT Yawaalika Wachimbaji Kuwekeza Serikalini, Yatoa Elimu ya Fedha

Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 

Wanawake Pelekeni Batiki Kwenye Soko Huru La Afrika

Dkt. Biteko Aahidi Kuendeleza Miradi Mikubwa Bugelenga

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TARI Yaleta Mapinduzi Kilimo cha Minazi
Next Article Dkt. Mushongi: Mahindi Ni Nguzo Kuu ya Uchumi na Usalama wa Chakula
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mita  Janja Zazinduliwa,  Tanesco  Yatakiwa Kuzisambaza Nchi Nzima
Habari December 5, 2025
DIT Andaeni Taarifa  Itakayowezesha Wanafunzi Kupelekwa Nje Kujifunza-Mkenda
Habari December 5, 2025
Msama Aipongeza Hotuba Ya Samia, Atoa Neno Kwa Vijana, Wazee, Wanaharakati
Habari December 4, 2025
Profesa Silayo Aaga, Jawara Kuchukua Uongozi Mpya wa AFWC25
Habari December 3, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?