MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Yaja Na Kanuni Mpya Ya Sheria Ya Fidia   Kuboresha Mazingira Ya Mfanyakazi 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Yaja Na Kanuni Mpya Ya Sheria Ya Fidia   Kuboresha Mazingira Ya Mfanyakazi 
Habari

Serikali Yaja Na Kanuni Mpya Ya Sheria Ya Fidia   Kuboresha Mazingira Ya Mfanyakazi 

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
3 Min Read
Na Lucy Lyatuu
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu) , Ridhiwan Kikwete  amesema  kanuni  kwa ajili ya  program ya marekebisho  kwa Sheria ya fidia kwa  wafanyakazi  wanapopatwa na majanga  sehemu za kazi zimekamilika zenye kuboresha mazingira kwa Mfanyakazi.
Program hizo ni zile zenye kuhudumia wafanyakazi wanapopata  na tatizo  wakiwa kazini ili waweze kuandaliwa  au kujiandaa vizuri nje au ndani ya maisha ya kazi.
Ridhiwan amesema hayo  jijini Dodoma mbele ya  Rais  wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA),Tumaini Nyamhokya alipofanya ziara rasmi ya kutambulisha gazeti la MFANYAKAZI akiongozana na Mhariri Mkuu Shani Kibwasali .
Kuhusu kanuni  hizo  Ridhiwan amesema  Serikali inafanya juhudi kubwa kutekeleza matakwa ya wafanyakazi hivyo amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi (WCF ), Dkt. John Mduma ili kuzungumzia sheria zilizopitishwa Bungeni hivi karibuni.
“Nilitoa  agizo  kwa taasisi zote zilizo chini ya Wizara kuwa kila Taasisi itengeneze program kwa ajili ya kutekeleza sheria moja baada ya nyingine” amesema na kuongeza,
“Hivyo nimemuita Mkurugenzi wa WCF  na kujadili kuwa kwenye mabadiliko ya Sheria Wafanyakazi wanaopata majanga  kazini kama kuvunjika miguu na  kutumia viungo  bandia wawe wafanyakazi  wenye mustakabali wa mwingine kwa kuboreshewa zaidi mazingira “, amesema.
Amesema  chini ya program hiyo ni kuandaa kwa upya kwamba iwapo dereva aliyepata ajali,sheria zilizopo zinaweza kumnufaisha na kwamba fidia na maisha yake baada ya majanga  yakoje ama ndio anaweza kubadilika kabisa.
“Chini ya program ya kanuni mpya mfanyakazi atazingazitiwa ni Kwa namna gani analindwa na fidia na kwamba maisha yake yanaweza kubadilika,” amesema Ridhiwani na kuongeza kuwa WCF  awali walikuwa na program moja pekee   ikiwemo ya  kumuangalia mfanyakazi  kiafya .
Amesema  kwenye hio program Mfanyakazi akipata shida ya miguu anavalishwa ya  miguu ya bandia ama jicho la bandia,lakini kwenye maeneo ya saikolojia unakuta Hilo jambo halipo pia kwenye suala la afya ya akili,  ambapo hizo program zinakwenda kubadilika chini ya  kanuni hiyo.
Ridhiwan amesema amemuagiza Mkurugenzi wa WCF kuandaa timu ya Wanasheria Ili kupitia pamoja na Katibu Mkuu Ili Sheria hiyo ipitishwe.
‘ Huu ni ushindi  mkubwa Kwa wafanyakazi na zitakaposainiwa Mfanyakazi popote alipi atambue nna serikali inatwkelwza matakwa yao.

You Might Also Like

Samia Mgeni Rasmi Siku Ya Wanawake Jijini Arusha

Tunatekeleza Azma YA Rais Samia Kuwafikia Wananchi Waliojiajiri

Mtanda Akagua Maendeleo Ya Mradi YA Hoteli Ya Nyota Tano Ya NSSF

Rais Samia akisikiliza jambo

Mfumo Uendeshaji Mashauri Kidigitali Kwa Watumishi wa Umma Uharakishwe

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Boti yazama abiria 14 kati ya 21 waokolewa
Next Article Muswada kuja wa Watumishi Wanaofanya Kazi Eneo Zaidi ya Moja Kuanza kuchangiwa na Waajiri Wote
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?