MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Samia, Nchimbi Kuchukua Fomu Ya Urais Kesho
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Samia, Nchimbi Kuchukua Fomu Ya Urais Kesho
Habari

Samia, Nchimbi Kuchukua Fomu Ya Urais Kesho

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, pamoja na mgombea mwenza wake, Dkt. Emmanuel Nchimbi, wanatarajiwa kufika katika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi kesho Agosti tisa, 2025  saa 4:50 asubuhi kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hizo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) – Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amesema hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa ratiba rasmi ya Tume ya Uchaguzi, ambayo imepanga uchukuaji wa fomu za urais kufanyika kuanzia Agosti tisa hadi 27, mwaka huu 2025.
“Chama chetu kilishakamilisha mchakato wa ndani na kuwateua wagombea. Hivyo, kesho watachukua fomu rasmi na baadaye kurejea makao makuu ya chama kwa ajili ya kusaini na kuzungumza na wanachama,” amesema.
Aidha, alibainisha kuwa uchukuaji wa fomu za ubunge na udiwani utaanza rasmi Agosti 14 na kufungwa Agosti 27, 2025 saa 10:00 jioni, sambamba na fomu za urais.
Makalla amesisitiza kuwa siku ya kuchukua fomu ni ya kihistoria kwa CCM, na kwamba chama kimejipanga kuhakikisha kinaendelea kushika dola kwa kipindi kingine.

You Might Also Like

Yonaz akabidhi boti ya doria kukabili vitendo vya kiuhalifu

MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani

Kipanga: Lugha ya Kichina Inakuza Diplomasia, Kuimarisha Uhusiano

Senyamule Ahamasisha Ushiriki Wa Vijana Katika Uchaguzi

Serikali Kuendelea Kuboresha Sheria za Ulinzi wa Watoto

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mgombea Udiwani Manyoni Adhalilishwa, Rushwa Yadaiwa Kuvuruga Kura Za Maoni
Next Article Dodoma Yang’ara Katika Mfumo wa Stakabadhi Ghalani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Dodoma Yang’ara Katika Mfumo wa Stakabadhi Ghalani
Habari August 8, 2025
Mgombea Udiwani Manyoni Adhalilishwa, Rushwa Yadaiwa Kuvuruga Kura Za Maoni
Habari August 8, 2025
TOSCI: Mbegu Bora Ni Ajira, Biashara
Habari August 8, 2025
Tanzania Kujenga Kiwanda Kikubwa cha Mbolea kwa Ushirikiano na Zambia
Habari August 8, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?