Na Mwandishi Wetu
RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua Shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu mkoani Ruvuma iliyogharimu zaidi ya Sh. Milioni 600.

Pia Rais Samia amewachangia sh milioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa bwalo, kawapatia ng’ombe wawili, kilo 500 za mchele na mafuta.
Wakati wa uzinduzi huo, wanafunzi wa shule hiyo nao walimchangia Rais Samia sh. 1800.
