MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ridhiwani Kikwete Azindua Miradi Ya Thamani Ya Bil. 1.7 Songwe
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ridhiwani Kikwete Azindua Miradi Ya Thamani Ya Bil. 1.7 Songwe
Habari

Ridhiwani Kikwete Azindua Miradi Ya Thamani Ya Bil. 1.7 Songwe

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
SONGWE: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi , Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amezindua miradi yenye thamani ya Sh. Bilioni 1.6 ya elimu, umeme na barabara katika Halmashauri ya wilaya ya Songwe mkoani Songwe
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa miradi hiyo, amesema mradi wa Ujenzi wa shule ya Maweni B uliogharimu Sh. Milioni 583 utasaidia kuondoa adha  ya kutembea umbali mrefu kwa  watoto wa Mkwajuni, kupunguza msongamano darasani pamoja na utoro wa rejareja.
Ridhiwani pia amezindua  madarasa Sita yatakayotumika kwa kidato cha tano na sita katika shule ya sekondari Kanga.
Mradi huo  wenye thamani ya Sh. Milioni 150 utawezesha  vijana kuishi bweni na  kuboresha mazingira ya malazi na Ujifunzaji kwa wanafunzi.
Vile vile amezindua ujenzi wa barabara za Mkwajuni mjini kwa kiwango cha lami wenye thamani ya Sh. Milioni 760.
Kwa upande mwingine amempongeza Mbunge wa jimbo la Songwe,  Philipo Mulugo kwa kuelekeza kiasi cha Sn.Milioni 500 za mfuko wa maendeleo ya Jimbo kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara.
Katika hatua nyingine, Kikwete amezindua Mradi wa usambazaji umeme Kitongoji cha Kikuyuni kata ya Mkwajuni wenye thamani ya Sh. milioni 156.
Amesema, fedha hizo zimetolewa na serikali kwa lengo la kuchochea maendeleo na ustawi wa watanzania hususani waishio vijijini.
Mkuu wa mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amemhakikishia.Waziri huyo kuendelea kutekeleza miradi kwa ufanisi ili kuweza kuboresha shughuli za  kijamii na kiuchumi za wananchi wa mkoa huo.
Vile vile Chongolo amewahimiza wananchi kulinda na kuyatetea maendeleo yao kwa wivu kwa kuwa hilo ndilo lengo la Serikali yao.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe mara baada ya kuzindua miradi hiyo, wamemshukuru Rais  Samia Suluhu Hassan kutokana na  kuridhishwa na kasi ya maendeleo.

You Might Also Like

Serikali Yajizatiti Kukabiliana na Maafa – Majaliwa

JOWUTA : Waandishi Vitendeeni Haki Vyama Vyote

Sirro: Kasulu Itambue Thamani ya Uwekezaji, Itenge Maeneo Rasmi

Serikali Kuja Na Mwongozo Wa Kuimarisha Ushirikishwaji Jamii Katika Masuala Ya Afya

TALGWU Chafanya Kikao Cha Baraza La Wafanyakazi Dodoma

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Miradi 10 Ya Kimkakati TPA Kuinua Uchumi
Next Article Rasmi Leo DSM Kuanza Biashara Saa 24
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?