Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 6, 2026
Habari Lucy Ngowi 5

Rais Samia azindua bwawa la umwagiliaji Mtibwa

Na Mwandishi Wetu
RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua Bwawa la Umwagiliaji na awamu ya tatu ya Upanuzi wa Mashamba ya Miwa kwenye Kiwanda Cha Sukari cha Mtibwa Mvomero Mkoani Morogoro leo Agosti 3, 2024.
Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.