Na Mwandishi Wetu
RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya Siku tano Mkoani Morogoro kuanzia Agosti 2, mwaka huu.
Katika ziara hiyo Rais Samia atazindua miradi mbalimbali na kuzungumza na wananchi.Pia Samia atafanya uzinduzi wa safari za trend ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma.