RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Kongani ya Viwanda ya Kwala (Kwala Industrial Park) iliyopo Kwala, Kibaha vijijini mkoani Pwani Julai 31, 2025.
Lengo kuu la Kongani ya viwanda ni kujenga viwanda 2000 na kwa sasa kuna viwanda 12 katika eneo lenye ekari 2500.