Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 6, 2026
Habari Lucy Ngowi 11

Rais Samia Aweka Jiwe La Msingi Kongani Ya Kwala

RAIS  Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Kongani ya Viwanda ya Kwala (Kwala Industrial Park) iliyopo Kwala, Kibaha vijijini mkoani Pwani Julai 31, 2025.

Lengo kuu la Kongani ya viwanda ni kujenga viwanda 2000 na kwa sasa kuna viwanda 12 katika eneo lenye ekari 2500.

 

 

Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.