MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais Samia Atangaza Baraza Jipya La Mawaziri
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais Samia Atangaza Baraza Jipya La Mawaziri
Habari

Rais Samia Atangaza Baraza Jipya La Mawaziri

Author
By Author
Share
5 Min Read

RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara 27 na kuteua mawaziri 27 na naibu mawaziri 29 aliowatangaza leo tarehe 17 Novemba, 2025 kama ifuatavyo:-

  1. Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  2. a) Waziri: Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete
  3. b) Naibu Waziri: Mhe. Regina Ndege Qwaray
  4. Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji
  5. a) Waziri: Mhe. Kitila Alexander Mkumbo b) Naibu Waziri: Mhe. Pius Stephen Chaya
  6. Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana
  7. a) Waziri: Mhe. Joel Arthur Nanauka
  8. Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira a) Waziri: Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni b) Naibu Waziri: Mhe. Dkt. Festo John Dugange
  9. Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu
  10. a) Waziri: Mhe. William Vangimembe Lukuvi
  11. b) Naibu Waziri: Mhe. Ummy Hamisi Nderiananga

1 

  1. Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano
  2. a) Waziri: Mhe. Deus Clement Sangu
  3. b) Naibu Waziri: Mhe. Rahma Riadh Kisuo
  4. Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

(TAMISEMI)

  1. a) Waziri: Mhe. Riziki Silas Shemdoe
  2. b) Naibu Waziri (Elimu): Mhe. Reuben Nhamanilo Kwagilwa
  3. c) Naibu Waziri (Afya): Dkt. Jafar Rajab Seif
  4. Wizara ya

Fedha

  1. a) Waziri: Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar
  2. b) Naibu Waziri: Mhe. Laurent Deogratius Luswetula
  3. c) Naibu Waziri: Mhe. Mshamu Ali Munde
  4. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
  5. a) Waziri: Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo
  6. b) Naibu Waziri: Mhe. Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe
  7. c) Naibu Waziri: Mhe. James Kinyasi Millya
  8. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
  9. a) Waziri: Mhe. Boniface George Simbachawene b) Naibu Waziri: Mhe. Denis Lazaro Londo
  10. Wizara ya

Kilimo

  1. a) Waziri: Mhe. Daniel Godfrey Chongolo b) Naibu Waziri: Mhe. David Ernest Silinde
  2. Wizara ya Maji
  3. a) Waziri: Mhe. Jumaa Hamidu Aweso
  4. b) Naibu Waziri: Mhe. Kundo Andrea Mathew
  5. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
  6. a) Waziri: Mhe. Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho
  7. Wizara ya Ujenzi
  8. a) Waziri: Mhe. Abdallah Hamis Ulega
  9. b) Naibu Waziri: Mhe. Mhandisi Godfrey Msongwe Kasekenya

2

  1. Wizara ya Uchukuzi
  2. a) Waziri: Mhe. Makame Mbarawa Mnyaa b) Naibu Waziri: Mhe. David Mwakiposa Kihenzile
  3. Wizara ya Viwanda na Biashara
  4. a) Waziri: Mhe. Judith Salvio Kapinga
  5. b) Naibu Waziri: Mhe. Patrobas Paschal Katambi
  6. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
  7. a) Waziri: Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki b) Naibu Waziri: Mhe. Switbert Zacharia Mkama
  8. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
  9. a) Waziri: Mhe. Dkt. Dorothy Onesphoro Gwajima
  10. b) Naibu Waziri: Mhe. Maryprisca Winfried Mahundi
  11. Wizara ya Afya
  12. a) Waziri: Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa b) Naibu Waziri: Mhe. Dkt. Florence George Samizi
  13. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
  14. a) Waziri: Mhe. Adolf Faustine Mkenda b) Naibu Waziri: Mhe. Wanu Hafidh Ameir
  15. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi a) Waziri: Mhe. Dkt. Leonard Douglas Akwilapo b) Naibu Waziri: Mhe. Kaspar Kaspar Mmuya
  16. Wizara ya Maliasili na Utalii
  17. a) Waziri: Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji b) Naibu Waziri: Mhe. Hamad Hassan Chande
  18. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  19. a) Waziri: Palamagamba John Kabudi b) Naibu Waziri: Mhe. Hamisi Mwinjuma c) Naibu Waziri: Mhe. Paul Christian Makonda

3

  1. Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  2. a) Waziri: Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa b) Naibu Waziri: Mhe. Ng’wasi Damas Kamani
  3. Wizara ya

Madini

  1. a) Waziri: Mhe. Anthony Peter Mavunde
  2. b) Naibu Waziri: Mhe. Dkt. Steven Lemomo Kiruswa
  3. Wizara ya Nishati
  4. a) Waziri: Mhe. Deogratius John Ndejembi
  5. b) Naibu Waziri: Mhe. Salome Wycliffe Makamba
  6. Wizara ya Katiba na Sheria
  7. a) Waziri: Mhe. Juma Zuberi Homera
  8. b) Naibu Waziri: Mhe. Zainabu Athman Katimba

Aidha, uapisho wa mawaziri na naibu mawaziri wateule utafanyika Ikulu Chamwino Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025 kuazia saa 05.00 asubuhi.

Imetolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi

Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka

KATIBU MKUU KIONGOZI 17 Novemba, 2025

 

 

You Might Also Like

Kikwete: Waambieni Tunataka Maendeleo Sio Maneno

Mjadala wa Kidiplomasia Ya Kisayansi Wafanyika Marekani

Biteko Amwakilisha Rais Samia Harambee Ujenzi Kanisa Katoliki

Zaidi Ya Wanachama 800 Wa TUGHE Watembelea Hifadhi Ya Mlima Kilimanjaro

Hatuwezi Kukwepa Matumizi Ya Bioteknolojia – Dkt.Nguvila

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Vijana Wahimizwa Kuweka Akiba
Next Article Rais Dkt Samia Awaaapisha Mawaziri, Awaaagiza Kutumia Rasilimali Za Nchi Kupata Fedha
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?