MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mtafiti UDSM Atafiti Mimea Ya Asili Kudhiti Fangasi Kwenye Mimea
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mtafiti UDSM Atafiti Mimea Ya Asili Kudhiti Fangasi Kwenye Mimea
Habari

Mtafiti UDSM Atafiti Mimea Ya Asili Kudhiti Fangasi Kwenye Mimea

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: MTAFITI kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Priscilla Kaijage amefanya utafiti kuangalia namna mimea ya asili inavyoweza kudhibiti magonjwa ya fangasi kwenye mimea, hususan maharage.

Priscilla ambaye pia ni Mhadhiri Msaidizi chuoni hapo, amesema katika utafiti wake ametumia mimea miwili aina ya mwarobaini na ‘comfrey’ ujulikanao kama CD4 , uliolenga kupunguza matumizi ya dawa za dukani ambazo nyingi zinatoka nchi za nje, ili kupunguza madhara kwenye mazingira.

“Kwenye utafiti nilikuwa na mimea hiyo miwili na pia concentration tofauti. Katika utafiti mwarobaini niliochakata kwa njia ya kawaida ambayo nilisaga kwenye maji ulifanya vizuri zaidi ikilinganishwa na kemikali za dukani.

“Dawa za dukani zinasababisha madhara kwenye mazingira na pia kwa binadamu, watu yaani wanaopiga awa hiyo, wanaokula zile mboga wanapata madhara zinaingia kwenye mwili taratibu lakini baada ya muda kuna tatizo la kansa.

“Tunajaribu kuwa na namna  nyingine ambayo ina manufaa kwenye mazingira, binadam, wanyama na wanaotuzunguka,” amesema.

Ametaja malengo yake kuwa na bidhaa ambayo ina manufaa kimazingira na kiafya, pia wakulima watumie waachane na dawa za dukani.

You Might Also Like

Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa

TUGHE Kujenga Jengo La Bilioni 10, Chawapa Zawadi Wafanya Kazi Hodari Zaidi Ya Bilioni Tatu

Watanzania Acheni Kuchanganya Mazao -Jafo

Sheria  300 Zimetafsiriwa Kwa Lugha Ya Kiswahili

Rais Samia Aridhia Malipo Ya Fidia Barabara Ya Afrika Mashariki

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ridhiwani Afanya Mazungumzo Na Balozi Wa China Nchini, Mingjian
Next Article UDSM Yatafiti Ndege Nyuki ‘Drone’ Inayopunguza Uchafuzi Wa Hewa Ukaa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Twendeni Tukapige Kura Ya Ukombozi, CHAUMMA Yahitimisha Kampeni
Habari October 28, 2025
Elimu Ya Nishati Safi Ya Kupikia Yawafikia Maofisa Dawati Ngazi Ya Mikoa Na Halmashauri
Habari October 27, 2025
Wananchi wahamasishwa kuandika historia mpya kupitia kura
Habari October 25, 2025
Shibuda: WanaMaswa jitokezeni kupiga kura bila woga
Habari October 25, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?