DAR ES SALAAM: MGOMBEA wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihutubia wananchi, wanachama na wapenzi wa CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Buza Tanesco, Wilaya ya Temeke, mkoani Dar es Salaam, leo Oktoba 23, 2025.

