MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano
Habari

Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

KATIBU  Mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, amemshukuru Mwenyekiti wake Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na chama kwa ujumla kwa kumuamini na kumpa ridhaa ya kukitumikia chama hicho katika nafasi ya Katibu Mkuu.

Habari Picha 9163

Uteuzi huo umeweka historia mpya ndani ya CCM kwani kwa mara ya kwanza tangu kuasisiwa kwake, chama hicho kimepata mwanamke kushika nafasi hiyo ya juu ya utendaji

 

Aidha Dkt. Migiro  amemshukuru mtangulizi wake, Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi, kwa kuweka msingi imara atakaoutumia kama njia ya kupita katika kutekeleza majukumu yake.

Habari Picha 9164

 

Ameahidi kushirikiana na wazee wa chama na wafanyakazi wote katika kipindi hiki cha uchaguzi kuhakikisha CCM inapata ushindi wa kishindo.

Habari Picha 9165

You Might Also Like

Mazao Ya Mikunde Yatajwa Kuwa Na Kiwango Kikubwa Cha Protini

Wahamasika Kutumia Mbegu Bora Za Karanga Zilizofanyiwa Utafiti Na TARI

Chalamila Asema Serikali Inafanyia Kazi Changamoto, Mradi Wa Mabasi Yaendayo Haraka

TARI Yakutanisha Wadau Afya Ya Udongo

Apongeza watumishi kwa kutoa huduma bora kwa walimu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Majaliwa Aagiza Kuimarishwa kwa Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini
Next Article Majaliwa Apongeza Jeshi La Magereza Kurasimisha Ujuzi Kwa Wafungwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda
Habari October 17, 2025
Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?