MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Makalla Aeleza Jinsi CCM Ilivyosimamisha Nchi Mchakato Kura Za Maoni
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Makalla Aeleza Jinsi CCM Ilivyosimamisha Nchi Mchakato Kura Za Maoni
Habari

Makalla Aeleza Jinsi CCM Ilivyosimamisha Nchi Mchakato Kura Za Maoni

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: .HAKUNA chama kingine cha siasa zaidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichosimamisha nchi katika mchakato wa kura za maoni wa kuwania nafasi katika chama hicho, katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu, wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema hayo leo Mkoani Dar es Salaam.

Amesema ni wazi kura za maoni ndani ya chama hicho zilisimamisha nchi kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, hivyo walichukulia changamoto zilizojitokeza kuwa ni changa kwenye chama kikubwa kama CCM.

“Na yale ambayo yako ndani ya uwezo wetu tuliendelea kuyatatua. Tunawaahidi watanzania wote kuwa na wana CCM kura za maoni zimeisha tunakwenda kwenye uteuzi wa wagombea  na wote tuwaombe twendeni tuwe kitu kimoja,” amesema.

You Might Also Like

BAKITA Lapongeza Sheria Za Tanzania Kuandikwa Kwa Lugha Ya Kiswahili

Mawaziri Tanzania Profesa Mkenda, Silaa Mkutanoni Rwanda

Matwebe Aipongeza Serikali Kushirikisha JUMIKITA  Kwenye Shughuli Za Kitaifa

Zabibu Ya Makutupora Nyekundu Yatajwa Kuwa Ya Kipekee Duniani

Boti yazama abiria 14 kati ya 21 waokolewa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Makala: Hakuna Kupita Bila Kupingwa
Next Article ATCL Yaanzisha Safari Za Moja Kwa Moja, Dubai Na Zanzibar
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Zimbabwe Yakabidhi Uenyekiti Kwa Madagascar
Habari August 7, 2025
Tume ya Kurekebisha Sheria Yatoa Onyo Kali kwa Wanaovunja Sheria za Umwagiliaji
Habari August 7, 2025
DC Atoa Wito kwa Tume ya Kurekebisha Sheria Kuzingatia Sheria Ndogondogo za Halmashauri
Habari August 7, 2025
TPHPA Yaleta Mapinduzi Mapya Katika Kilimo Kupitia Teknolojia ya Vinasaba
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?