MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari

Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

NAIBU  Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amewataka watumishi wa Idara ya Elimu katika Ofisi hiyo kuhakikisha wanasimamia kikamilifu watendaji walio chini yao ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma.

 

Akizungumza na wasimamizi wa Idara ya Elimu katika Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Jjijini Dodoma leo Novemba 21, 2025 Kwagilwa amesema utekelezaji wa majukumu kwa weledi utasaidia kufikia malengo ya Rais  Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuendelea kuleta tabasamu kwa Watanzania kupitia maboresho ya sekta mbalimbali ikiwemo elimu.

 

“Mheshimiwa Rais anatamani wizara hii ambayo inagusa wananchi moja kwa moja inapeleka tabasamu kwa watanzania hao lakini twendeni tukafanye udhibiti na tukatimize majukumu yetu kwa weledi kama ambavyo mmekuwa mkifanya siku zote.” Amesema

Habari Picha 10391

 

Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu OWM-TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Atupele Mwambene, amesema Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI inaendelea kushirikiana na Wizara mbalimbali kama vile Wizara ya Elimu, Wizara ya Maji na Wizara ya Kilimo katika kutatua changamoto zinazoikabili sekta ya elimu nchini.

 

Mwambene aliongeza kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua za kimkakati ili kuhakikisha mazingira ya kujifunzia na kufundishia yanaboreshwa hususani katika maeneo yenye changamoto kwani dhamira ya Serikali ni kuona kila mtoto wa Kitanzania anapata elimu bora, salama na yenye usawa.

 

You Might Also Like

Kabudi Aelezea Mafanikio Ya Wizara Yake

August 10, 2024

Serikali Inaendelea Kutekeleza Mradi wa Kupeleka Umeme Grid Ya Mtwara Na Lindi- Kapinga

TASAC yahadharisha wavuvi, wasafirishaji majini kuhusu upepo mkali

Waziri Mkuu Majaliwa Azungumzia Urushaji Wa Satelite Tanzania

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Viongozi Wa Dini Zote Wajifungie Kuomba,Kujadili Na Kutoa Mapendekezo-SAU
Next Article Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Viongozi Wa Dini Zote Wajifungie Kuomba,Kujadili Na Kutoa Mapendekezo-SAU
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?