MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: JUMIKITA Yaiomba Serikali Mikopo Ya Fedha, Vifaa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > JUMIKITA Yaiomba Serikali Mikopo Ya Fedha, Vifaa
Habari

JUMIKITA Yaiomba Serikali Mikopo Ya Fedha, Vifaa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DODOMA: JUMUIYA ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) imeiomba Serikali kutoa mikopo ya fedha na vifaa vya uzalishaji wa maudhui katika Tasnia ya habari, kama inavyofanya katika tasnia nyingine.
Mratibu wa Jumuiya hiyo Gilbert Boniface ametoa ombi hilo katika mkutano wa mwaka wa vyombo vya utangazaji nchini, uliofanyika Februari  13-14, 2025, jijini Dodoma.
Amesema ili kuendeleza na kuimarisha kazi za uandishi na uzalishaji wa maudhui ya ndani katika mitandao ya kijamii, ni muhimu kuwa na msaada wa kifedha na vifaa vya kisasa.
Amesema msaada huo utachochea ubunifu na kuhakikisha vyombo vya habari vinavyotumia mitandao ya kijamii vinakuwa na ufanisi na ubora wa juu katika utoaji wa habari.

You Might Also Like

Profesa Ndunguru: Mabadiliko Sekta ya Kilimo Yanaenda Sambamba na Uwekezaji Katika Utafiti

BRELA kuanza kuwasajili wakulima

Singida Yapokea Zaidi Ya Milioni  Moja 

Rafiki Planter’Teknolojia Rahisi, Tija Kubwa”

Wazalishaji, Waagizaji Mbolea Watakiwa Kuzingatia Afya ya Udongo kwa Tija ya Kilimo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Msigwa Azikumbusha Taassisi Za Serikali, TANROAD Ikielezea Mafanikio Yake
Next Article WCF Yaleta Utulivu Mahala Pa Kazi – Katambi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaweka Mkazo Kufufua Viwanda Musoma Ili Kuongeza Ajira
Habari April 24, 2026
Program Ya Mama Samia Ya Kurasimisha Ujuzi Yazinduliwa
Habari April 23, 2026
TEA, Wizara ya Elimu Zanzibar Kushirikiana Kuimarisha Miradi ya Elimu
Habari April 23, 2026
Bajeti Yadhihirisha Uhakika Wa Nishati Nchini
Habari April 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?