MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Elimu Itolewe Kuhusu Ufahamu Wa Kuwepo Kwa Fedha Maalum – Ridhiwani
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Elimu Itolewe Kuhusu Ufahamu Wa Kuwepo Kwa Fedha Maalum – Ridhiwani
Habari

Elimu Itolewe Kuhusu Ufahamu Wa Kuwepo Kwa Fedha Maalum – Ridhiwani

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
ARUSHA: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri  Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema moja ya changamoto kubwa kwa sasa ni ufahamu hafifu wa kuwepo kwa fedha maalum zinazotengwa toka kwenye manunuzi ya Umma.
Ridhiwani amesema hayo alipozungumza katika Kongamano lililoandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), lililolenga kujadili Ununuzi wa umma na Ukuzaji wa kampuni za wazawa na makundi maalum kwa ukuaji wa Uchumi Jumuishi katika zama za mabadiliko ya teknolojia ama  Kidigitali lililofanyika Jijini Arusha Juni 16, 2025.
Amesema jambo muhimu ni kutoa elimu na kuwashirikisha wadau wakiwemo  madiwani na wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa na Majiji ili elimu ya kuwepo kwa fedha maalum zinazotengwa toka kwenye manunuzi ya Umma ijulikane.
“Umuhimu na msisitizo kama huu umesaidia sana vijana, wanawake na wenye ulemavu kukimbilia zile asilimia 10 zinazotengwa na Halmashauri kutoka kwenye mapato ya ndani,”amesema.
Pia ameeleza umuhimu wa kuendelea kutambua kuwa mabadiliko mbalimbali yaliyofanywa na serikali yanalengwa kuwasaidia na kukuza ustawi wa Watu wenye mahitaji maalum.
Amesema serikali imewezesha vijana na watu wenye ulemavu waweze kujiinua kiuchumi ikiwemo maelekezo ya kisheria ya kuendelea kutenga Asilimia 30 ya zabuni za ununuzi wa umma.
Ridhiwani pia amewashukuru PPRA kwa kazi nzuri na kutambua umuhimu wa kuandaa kongamano hilo ambalo kwa hakika linalenga kuwawezesha wananchi.

You Might Also Like

Udongo wa kupandia mboga mboga unapatikana VETA

TARI Yatikisa Sabasaba Na Mti Wa ‘Allspice’

Maofisa Habari Watoe Taarifa Sahihi Ziwafikie Wananchi

TSB Yatangaza Fursa Za Kilimo, Uwekezaji Wa Mkonge

Samia Mgeni Rasmi Siku Ya Mashujaa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kasulu DC Yapongezwa Kwa Kupata Hati Safi
Next Article FAJ Yataka Wahamiaji Wa Kazi Wa Afrka, Wanaokwenda Maeneo Mengine Walindwe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?