MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Diwani Kata Ya Majengo Awasihi Wananchi Kufanya Kazi Kwa Bidii
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Diwani Kata Ya Majengo Awasihi Wananchi Kufanya Kazi Kwa Bidii
Habari

Diwani Kata Ya Majengo Awasihi Wananchi Kufanya Kazi Kwa Bidii

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu, Dodoma

DIWANI wa Kata ya Majengo mkoani hapa Nicholaus Msemo amewataka wakazi wa eneo hilo kuacha kulalamika bali wafanye kazi kwa bidii bila kuchagua huku wakizingatia nidhamu ya fedha.
Amesema hayo wakati akizungumza na gazeti  la Mfanyakazi kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya kata hiyo katila siku 100 baada ya uchaguzi mkuu.
Amesema pamoja na mipango  na mikakati ya maendeleo aliyopanga kufanya katika kata hiyo lakini pia  ni muhimi kwa wakazi wa eneo hilo kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii  ili kujikwamua kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
“Ni muhimu kuacha kulalamika, kwamba kazi hii haifai mara ile ndio  imayofaa, ni vyema wananchi  kujikita kufanya kazi kwa bidii lakini pia kuwa na nidhamu ya fedha kwa kuitumia katika masuala ya msingi, ” Amesema Msemo na kuongeza kuwa nia yake ni wananchi kupewa elimu ya mikopo na kufanya kazi kwa bidii.
Habari Picha 11273
Kuhusu siku 100 baada ya uchaguzi amesema  ameondoa kero ya malipo kwa wananchi wake wanapohitaji huduma  yoyote kutoka serikali za mitaa ambapo gharama zote atahudumia yeye diwani.
“Ilikuwa ni kero kwa wananchi maana wakati mwingine walipohitaji huduma sio wote waliokuwa na fedha kwa ajili ya kulipia huduma hizo kama kupata barua za utambulisho, ” Amesema Diwani Msemo na kuongeza kuwa   hata malipo yanayotakiwa kwa wanafunzi wa madarasa ya mitihani  katika Kata hiyo atakuwa akiwajibika yeye.
Amesema katika siku 100 ameweza kukarabati shule ya msingi na sekondari iliyopo katika Kata na kwamba changamoto yaaji taka inaendelea kufanyiwa kazi.

You Might Also Like

Profesa Kitila Ataja Sababu Za Watanzania  Kumchagua Dkt Samia

Tanzania Kushirikiana na Finland Uboreshaji Mbegu za Miti

Mchengerwa Aongoza Ujumbe Wa Tanzania Kwenye Uzinduzi Wa Mkutano Wa Dunia Wa Tiba Asili

TARI Yaja Na Jawabu 88 Juu Ya Tindikali, Chumvi Kwenye Udongo

Wanafunzi Kutoka Veta Kushiriki Mafunzo Japan

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tanzania Yalenga Kufikia Asilimia 51 Ya Ushiriki Wa Wanawake Katika Sayansi
Next Article VETA Yaondoa Sare Kwa Wanafunzi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

VETA Yaondoa Sare Kwa Wanafunzi
Habari February 16, 2026
Tanzania Yalenga Kufikia Asilimia 51 Ya Ushiriki Wa Wanawake Katika Sayansi
Habari February 14, 2026
Makamu wa Rais Asisitiza Ubunifu, Uwekezaji Soko La Hisa La Dar es Salaam
Habari February 13, 2026
JAB Yasisitiza Ithibati Kama Njia ya Kuimarisha Ubora na Uaminifu wa Habari
Habari February 13, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?