Sept 12, 2025 LAMADI SIMIYU: Mgombea Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA Salum Mwalim amesema endapo wakimchagua kuwa Rais atarejesha thamani ya Kanda ya Ziwa na zao la Pamba litarudi kuwa tegemezi.

Mfanyakazi Tanzania ni jukwaa la taarifa linalowakusanyia wafanyakazi habari za ajira, sheria za kazi, haki na wajibu wa mfanyakazi, matangazo rasmi, nyaraka za umma pamoja na fursa za elimu na mafunzo.
Maoni 0
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!