MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading:   Tanesco Yagawa Zawadi Ya Majiko Sabasaba Kuhimiza Matumizi Nishati Safi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari >   Tanesco Yagawa Zawadi Ya Majiko Sabasaba Kuhimiza Matumizi Nishati Safi
Habari

  Tanesco Yagawa Zawadi Ya Majiko Sabasaba Kuhimiza Matumizi Nishati Safi

Author
By Author
Share
2 Min Read
  NA Lucy Lyatuu
SHIRIKA  la Umeme Tanzania (Tanesco),   limewahakikishia  watanzania kuendelea  kuwapatia elimu  juu ya matumizi sahihi ya nishati safi ya kupikia.
Mkurugenzi Mtendaji
Lazaro Twange amesema katika kutoa elimu hiyo Tanesco   imetoa  zawadi ya majiko ya umeme kwa Wananchi waliofika katika banda lao lililopo kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama sabasaba.
Akizungumza na waandishi wa katika viwanja vya maonesho hayo, Mkurugenzi  Twange amesema wananchi waliofika katika banda lao wamepata fursa ya kupata elimu  ya nishati safi ya kupikia na kupatiwa majiko.
“Ni maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan kwamba watanzania tuhame kwenye kutumia nishati isiyokuwa safi na kutumia iliyosafi, hivyo hapa tunazungumzia nishati ya umeme na tuna majiko haya ya umeme yamefanyiwa utafiti na kuthibitika kuwa unaweza kupikia na chakula kikaiva kwa kutumia chini ya Unit moja tu.
“Kupitia maonesho haya tumeona ni vema  wananchi tuwapatie maswali na wale  wanaojibu vema maswali waliyoulizwa wamepata fursa ya kujishindia zawadi ya majiko hayo ya kupikia”amesisitiza
Aidha amewashukuru  watanzania waliofika katika banda lao  na kuwapatia elimu kuhusu masuala ya nishati safi yakupikia.
Naye Kaimu Meneja Mkuu wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO), Sadock Mugendi amesema wamekuwa wakisambaza na kusafirisha umeme maeneo mbalimbali vijijini na kwamba hivi karibuni wamemaliza mradi wa kusafirisha umeme kutoka Tabora mjini kuelekea Katavi wenye kilomita 383 na una msongo wa Kilovolt 132.”

You Might Also Like

Kamati Ya Bunge  Yaridhishwa Na Ujenzi Wa Jengo La Kituo Cha Zimamoto, Mtumba

Homa ya nyani mjadala wa dharura kwa mawaziri wa afya Afrika

Awamu Ya Pili Uboreshaji, Uwekaji Wazi Wa Dafatri La Wapiga Kura Kuanza Mei

PURA Yajipanga Gesi Asilia Itumike Kwenye Magari

Majaliwa Aagiza Sera Ya Elimu Kusimamiwa Kikamilifu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Bahari  Ina Fursa Nyingi Zisizofahamika-Tasac
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Bahari  Ina Fursa Nyingi Zisizofahamika-Tasac
Habari July 8, 2025
VETA Yafanya Mageuzi Makubwa Yaliyowezesha Wengi Kuajiriwa
Habari July 8, 2025
DIT Mwanza   Kutoa Kozi Ya Kuchakata Ngozi
Habari July 8, 2025
TPDC  Yaibuka Mshindi Sabasaba Yapata Tuzo Ya Tano
Habari July 8, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?