MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wafanyakazi Wa Majumbani  700 Wapatiwa Mafunzo VETA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wafanyakazi Wa Majumbani  700 Wapatiwa Mafunzo VETA
Habari

Wafanyakazi Wa Majumbani  700 Wapatiwa Mafunzo VETA

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
SHRIKA la CVM kwa kushirikiana na Mamlaka Ya Ufundi Stad nchini (VETA)  kwa ufadhili wa Serikali Ya Italy  wametoa mafunzo kwa wafanyakazi wa maju mbani wapatao 700 tangu kuanza kwa mtaala  wa wafanyakazi wa majumbani uliozinduliwa April ,mwaka jana .
Mtaalam wa masuala ya jinsia Maria Shimba amesema hayo wakati akizungumza na gazeti la MFANYAKAZI katika banda la VETA kwenye maonesho ya 49 ya biashara ya kimataifa maarufu kama sabasaba yanayoendelea Dar es Salaam.
Amesema wafanyakazi hao tayari wamesoma  masomo mbalimbali ikiwemo namna ya kuandaa chakula namna ya kuwajali watoto na wazee na wa Sasa  wako kwa waajiri wao.
Ameyataja masomo mengine waliyosoma kuwa ni pamoja na ujuzi wa kimaisha,usalama jikoni,usafi,uvumilivu,huduma kwa wateja pamoja na haki za kazi.
Amesema kupitia maonesho hayo wako katika maonesho hayo kwa ajili ya kuhamasisha  kuhusu mtaala huo kwa watanzania ili kujua kuwa zipo kozi mbalimbali  zinazotolewa kwa wafanyakazi wa majumbani ikiwemo ya mwezi mmoja,mitatu hadi sita.
Amesema mafunzo hayo yanatolewa katika vyuo sita vya VETA vya Tanzania Bara na Zanzibar ikiwemo vyuo vya Chang’ombe, Dodoma,Lindi,Tanga,Iringa na Mikumi.
Amesema kwa upande wa Zanzibar mafunzo yanatolewa katika chuo cha VETA cha Mkokotoni,Makindudi na Daya Pemba na mwanafunzi akihitimu anapewa cheti cha ubobezi wa kazi za majumbani.
Maria amesema wanatumia maonesho ya sabasaba kuelezea kuhusu mtaala huo i ambao ni msaada wa kupunguza madhila kwa wafanyakazi wa majumbani pamoja na kupokea  ujuzi.

You Might Also Like

Ridhiwani Kikwete Awataka Vijana Kuwa Mabalozi Wazuri wa Amani

Uongozi CHADEMA Kanda Ya Kati Upo Imara

BMT Yaleta Kicheko Kwenye Michezo

Makala: Hakuna Kupita Bila Kupingwa

NSSF Kutoa Mafao Siku Moja Baada ya Kustaafu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Abubakar Assenga Aomba Ridhaa Ya Wananchi Wa Kilombero Wamchague Tena
Next Article VETA Shinyanga Yatumia Kompyuta Kubuni Bidhaa 
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

VETA Dodoma Waleta Mashine Kurahisishia Upekechuaji Wa Alzeti
Habari July 3, 2025
VETA Shinyanga Waja Na Mafunzo Ya Saluni, Mapambo, Urembo
Habari July 3, 2025
UDSM Yaja Na Bajaji Inayotumia Maji Na Mafuta
Habari July 3, 2025
Bodi ya Bima ya Amana Yatoa  Bil 9.07 , Fidia Kwa Wateja Wa Benki Saba   Zilizofilisika
Habari July 3, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?