MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari

Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ameelezea jinsi sekta hiyo inavyogusa maisha ya watanzania kupitia reli,  barabara, anga au usafiri wa majini.
Amesema hayo alipotembelea Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka huu 2025, inayofanyika jijini Dodoma.
Amesema kwa umuhimu wa sekta hoyo, inahitajika kuendelea kujenga mfumo unaomuweka mwananchi mbele kwa kuhakikisha huduma ni za haraka, salama, na zenye tija.
Pia amesema maonesho hayo yanaongeza uwazi na uelewa kwa wananchi kuhusu huduma zinazotolewa na Wizara ya Uchukuzi, sambamba na kuwaweka karibu zaidi na Serikali yao.
“Katika wiki hii, tunapaswa kujiuliza kama tunamtumikia mwananchi kwa uadilifu na ufanisi, kwani Watumishi wa umma tuna jukumu la kuakisi maadili ya uwajibikaji, uvumilivu na ubunifu kwa manufaa ya Taifa letu,” amesena.
Akizungumza na watendaji wa wizara hiyo,  amesema Wiki ya Utumishi wa Umma ni fursa muhimu ya kujifunza, kusikiliza wananchi, na kuboresha mifumo ya utoaji huduma, hasa katika sekta ya uchukuzi ambayo ndiyo mhimili wa maendeleo ya kiuchumi.

You Might Also Like

CMA Inasaidia Vijana Kuwa Na Nafasi Bora Kazini

Waajiri Wasilisheni Michango Kwa Wakati

Wamiliki Migodi Wapewa Siku 30 Kufanya Usajili

Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa

Maandalizi Mei Mosi Yapamba Moto Singida

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Next Article Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
Mtego wa Inzi Wa Matunda Suluhisho Salama kwa Wakulima
Habari August 7, 2025
Mafua, Kifua Yadaiwa Kusababisha Kifo cha Job Ndugai
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?