MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wanafunzi Waliokwenda China Watakiwa Kuiwakilisha Tanzania Vizuri
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wanafunzi Waliokwenda China Watakiwa Kuiwakilisha Tanzania Vizuri
Habari

Wanafunzi Waliokwenda China Watakiwa Kuiwakilisha Tanzania Vizuri

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Mkurugenzi Wa Confucius Awakumbusha Wanafunzi Kujali Muda
Na Lucy Ngowi
DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimewataka wanafunzi wa Kitanzania waliokwenda China, kuiwakilisha Tanzania kwa mambo mazuri, kuitangaza na kuelezea fursa za kiuchumi zilizopo.
Rasi wa Ndaki ya Insia, chuoni hapo Dkt Silkiluwasha Mpale aliwaasa wanafunzi 19 kutoka shule mbalimbali ambao wamekwenda China kwa ajili ya msimu wa hali ya joto, kuwakilisha nchi vizuri kwa siku zote watakazokuwepo huko.
Amesema, “Tusingependa kusikia kuna aliyeonekana kwenye kamera kwa kufanya udokozi au vitendo vyovyote vibaya,”.
Amesema wanafunzi waliopata fursa hiyo ni wale ambao shule zao zinafundisha lugha ya kichina, waliagwa katika Ukumbi wa Taasisi ya kufundisha lugha ya Kichina ya Confucius UDSM.
Amewakumbusha wanafunzi hao kuwa hawaendi peke yao bali wanawakilisha Tanzania,wazazi wao na Afrika kwa ujumla.
Pia amewataka wazazi  wa wanafunzi hao, kuwaunga mkono watoto wanapotaka kusoma kichina kwani hata hao waliokwenda hawajaenda tu bali wameanza kujifunza kichina hivyo wanaenda huko kujifunza kwa kuona na vitendo.
“Nchi yetu ikiwa kwenye mageuzi ya elimu kwa kukazania zaidi masomo ya amali, hiki wanachoenda kujifunza watoto wetu huko China ndio kinamaanisha,
“Kwani enzi zetu kuna waliosoma kitabu cha ‘The great Wall of China’,lakini tuliishia kukiona kwenye vitabu na kuvuta picha kichwani tu, lakini leo hawa watoto wanaenda kuona kwa macho yao,” amesena.
Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Taasisi  ya Confucius upande wa China, Profesa Zhang Xiaozhen, amesema wanafunzi hao watakuwa nchini humo kwa wiki mbili.
Zhang amesema katika kipindi chote hicho watajifunza mambo mbalimbali ikiwemo lugha, tamaduni za kichina, shughuli mbalimbali zinazofanywa na nchi hiyo ikiwemo za kiuchumi   na kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii.
Amewataka wanafunzi hao kuzingatia ratiba ya kila wanachopangiwa.
Kwa niaba ya wanafunzi wenzake, Darren Samuel amesema wanashukuru kwa kupata nafasi hiyo kwa kuwa inawafungulia fursa nyingine katika maisha yao.
Amesema wakiwa nchini China watakuwa wawakilishi bora, kwa kuitambulisha vena Tanzania.

You Might Also Like

Utiaji Saini Mkataba Wa Ujenzi Jengo La TUGHE Wafanyika

Rais Samia awasili China kushiriki mkutano wa FOCAC

TARI Yakutanisha Wadau Kuwaeleza Matokeo Ya Tafiti Za Mbegu Wanazofanya

Spika Tulia Kufungua Kongamano La Uhuru Wa Wanataaluma Afrika UDSM

Rais Mwinyi Azindua Ripoti ya Jiolojia, Utafiti Madini zanzibar

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mfumo Wa KieletronikiWa Albino Kurahisisha Kuwatambua – Ridhiwani
Next Article Profesa Anangisye Atoa Neno Kwa Wahitimu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?