MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wanafunzi 431, Watumishi 52 Watembelea TARI kujifunza Kilimo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wanafunzi 431, Watumishi 52 Watembelea TARI kujifunza Kilimo
Habari

Wanafunzi 431, Watumishi 52 Watembelea TARI kujifunza Kilimo

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DODOMA: WANAFUNZI na Watumishi kutoka Shule ya Awali na Msingi ya  Aswwiddiq iliyopo  Temeke Jijini Dar es Salaam wametembela Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kwa ajili ya kujifunza Teknolojia bora za Kilimo ili kujiongezea ujuzi na ari ya kukipenda Kilimo.
Wanafunzi hao 431 na Watumishi 52 wametembela TARI Juni nne , mwaka huu 2025 katika kituo chake  cha Uhaulishaji wa Teknolojia za Kilimo kilichopo  Nzughuni Nanenane Jijini Dodoma.
Akieleza kuhusu ziara hiyo, Mwanafunzi Hafidh  Kagi amesema elimu aliyopata inamsaidia kuona umuhimu wa kufanya kilimo chenye tija ambacho kinafuata kanuni bora kuanzia utambuzi wa afya ya udongo, kupanda kwa nafasi na kuhudumia mazao.
Naye Mwanafunzi Najat  Mambi, ameeleza kunufaika kwa kupata elimu ya kanuni bora za Kilimo pamoja na kuona mazao ambayo amekuwa akisoma.
Kwa upande wake Mwalimu Mkuu wa Shule,  Mumo  Athumani ameipongeza TARI kwa kazi wanazofanya ya kungundua Teknolojia bora za kilimo zenye kuongeza tija kwa Wakulima na Pato la Taifa kwa ujumla.
“TARI inafanya KAZI nzuri na kubwa ya kugundua teknolojia, hii inaongeza pato la mtu Mmoja na taifa kwa ujumla na sisi kama Shule elimu tuliyopata tunaenda kuanza walau kwa kuanzisha bustani shuleni itakayokuwa inahudumiwa na wanafunzi na Watumishi ili kujifunza Kilimo kwa vitendo,” amesema.
Kwa upande wa TARI, Mtafiti Mwandamizi Mshaghuley Ishika amepongeza uongozi na wanafunzi wa Shule ya Aswwiddiq kutembelea TARI kwa lengo la kujifunza Kilimo huku akitoa wito kwa shule zingine kuiga mfano huo wa kuwajengea mazingira wanafunzi kujifunza na kukipenda Kilimo.
Aidha Ishika alisema ujio wa wanafunzi na watumishi hao ni moja ya njia za TARI kuwafikia wadau mbalimbali wa kilimo kupata Teknolojia zinazobuniwa.

You Might Also Like

AUWSA Kutibu Maji Taka Yatumike Kwenye Kilimo

Mpango Awaalika SADC Kutuma Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi

Simbachawene Asema Serikali Yajivunia Mafanikio TASAF

Senene Waongezewa Thamani UDSM

Rais Samia Kushiriki Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi Ethiopia

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Viongozi Bora Hujenga Mazingira Wezeshi Kwa Wahadhiri – Profesa Nombo
Next Article Kwelea Kwelea, Nzige, Viwavi Jeshi Kudhibitiwa Kwa Haraka
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Habari July 24, 2026
Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
Wananchi Washauriwa Kutumia  Wataalam Wa Ujenzi Kuepuka Madhara
Habari July 14, 2026
July 14, 2026
Uncategorized July 14, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?