MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: CCM Kuwezesha Wananchi Kufuatilia Mkutano Mkuu Maeneo Ya Wazi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > CCM Kuwezesha Wananchi Kufuatilia Mkutano Mkuu Maeneo Ya Wazi
Habari

CCM Kuwezesha Wananchi Kufuatilia Mkutano Mkuu Maeneo Ya Wazi

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema Chama hicho kinatarajia kufanya mkutano Mkuu Mei 29-30 ukitangaliwa na Kamati kuu(CC) na Halmashauri kuu(NEC).
Aidha utawekwa utaratibu katika maeneo ya wazi ili wananchi waweze kufuatilia moja kwa moja mkutano huo utakapokuwa unaendelea.
na kwamba wataweka utaratibu katika maeneo ya wazi ili wananchi waweze kufuatilia moja kwa moja mkutano huo utakapokuwa unaendelea.
Makala ameeleza hayo Jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuanza kwa kufanyika kwa mkutano huo ambao kwa mujibu wa Katibu ya CCM utakuwa na wajumbe halali 2000.
Amesema zitakuwepo ajenda kuu tatu, ambazo ni pamoja na kupokea taarifa ya utekelezaji Ilani CCM katika kipindi cha miaka mitano kwa serikali Tanzania Bara na Zanzibar.
Nyingine  ni uzinduzi wa Ilani ya uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 kuelekea 2030 itakayokuwa na mambo muhimu ambayo CCM inakwenda kuyanadi kwa wananchi .
Pia kufanya marekebisho madogo kwenye katiba ya  Chama Cha Mapinduzi ambayo yatafahamika siku ya mkutano Mkuu.
Katika hatua nyingine amesema,
kutakuwa na tukio la uwekezaji jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi ya Makao makuu ya CCM litakayofanyika Mei 28 mwaka huu.
“CCM ni chama kikubwa chenye wanachama milioni 11 jengo la makao makuu lililopo kwa sasa ni dogo hivyo halitoshi ndio mana tumeamua kujenga jengo lingine,”amesema.
Amesema mkutano Mkuu CCM unakwenda kusimamisha Taifa.

You Might Also Like

Askari wa Jeshi La Uhifadhi Kusini Wakumbushwa Wajibu

Kabonaki: Jiungeni Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Hiari

Dkt Biteko Awasili Barbados Kunadi Nishati Safi Kimataifa

Sera mpya ya biashara irahisishe ufanyaji biashara

Waajiri Wathamini Taaluma Ya Uandishi Wa Habari – Dkt. Mkoko

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Soko La Kisasa La Nyamachoma Lazinduliwa Vingunguti
Next Article Program Ya Maeneo Yaliyochakaa Nchini Yaandaliwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nyanya Cheri na Ngogwe Chungu Zarejea 
Habari July 13, 2025
NFRA Yawaalika Wadau Kununua Nafaka kwa Masoko ya Ndani na Nje
Habari July 13, 2025
Kafulila: Ushirikiano wa Sekta Binafsi na Umma Kuboresha Huduma
Habari July 13, 2025
Teknolojia Mpya Ya Uchomeleaji Yaleta Mapinduzi VETA Dodoma
Habari July 12, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?